Gap la kukosekana Walimu wengi kwenye zoezi la sensa limeonekana, Serikali mjifunze speed ndogo

Gap la kukosekana Walimu wengi kwenye zoezi la sensa limeonekana, Serikali mjifunze speed ndogo

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
4,664
Reaction score
9,929
Maeneo mengi walimu walikatwa kwa kigezo kipaumbele kwa watu wasio na ajira sawa ila wakasahau uzoefu katika jambo ni muhimu sana hususani kwenye vitu nyeti kama hivi.

Mwalimu ana uzoefu wakurahisisha jambo anajua mbinu zipi zinamuwezesha kufikia lengo site mashahidi hawa makalani wanatumia saa moja Mpaka saa na nusu kuuliza maswali kaya moja maswali mengine hayapaswi ulizwa ni maswali yenye majibu kwa kuona tu mfano jinsia, ulemavu nk ila vijana wanauliza kitu kinachofanya watumie mda mwingi kuuliza swali speed ndogo matokeo yake mpaka mda huu Kuna kaya hazijafikiwa na Leo mapumziko je na kesho na kesho kutwa itakuwa mapumziko na kanuni za sensa zinasemaje zoezi ni siku moja tu ukizidisha siku umeharibu utachukua tarifa zisizo sahihi.

Haya nani tumchune ngozi aliyeamua makarani wawe wachache au aliyeamua walimu wasiwepo kundi ambalo linauzowefu wa kuandika na kusahihisha.
 
Mwalimu tulia huko,sensa zilizopita hawakutumia vishinkwabi ,na mwaka huu wana maswali mengi bado kujaza data na kuzituma sehemu husika sio kazi rahisi. Hebu tafuta walipo waalimu wenzio uone kasi yao.
 
Maeneo mengi walimu walikatwa kwa kigezo kipaumbele kwa watu wasio na ajira sawa ila wakasahau uzoefu katika jambo ni muhimu sana hususani kwenye vitu nyeti kama hivi

Mwalimu ana uzoefu wakurahisisha jambo anajua mbinu zipi zinamuwezesha kufikia lengo site mashahidi hawa makalani wanatumia saa moja Mpaka saa na nusu kuuliza maswali kaya moja maswali mengine hayapaswi ulizwa ni maswali yenye majibu kwa kuona tu mfano jinsia, ulemavu nk ila vijana wanauliza kitu kinachofanya watumie mda mwingi kuuliza swali speed ndogo matokeo yake mpaka mda huu Kuna kaya hazijafikiwa na Leo mapumziko je na kesho na kesho kutwa itakuwa mapumziko na kanuni za sensa zinasemaje zoezi ni siku moja tu ukizidisha siku umeharibu utachukua tarifa zisizo sahihi

Haya nani tumchune ngozi aliyeamua makarani wawe wachache au aliyeamua walimu wasiwepo kundi ambalo linauzowefu wa kuandika na kusahihisha
We sema wameajili.watu wasiona sifa!.. kujuana kwingi miksa rushwa acha waende slow slow.
 
Mwalimu Nakuheshimu Acha Lawama
Sensa Hii Ni Tofauti Inahusisha Makazi Pia Maswali Ni Mengi Sana
Zamani Ilikuwa Sensa Ya Watu Tu!!
 
Maeneo mengi walimu walikatwa kwa kigezo kipaumbele kwa watu wasio na ajira sawa ila wakasahau uzoefu katika jambo ni muhimu sana hususani kwenye vitu nyeti kama hivi.

Mwalimu ana uzoefu wakurahisisha jambo anajua mbinu zipi zinamuwezesha kufikia lengo site mashahidi hawa makalani wanatumia saa moja Mpaka saa na nusu kuuliza maswali kaya moja maswali mengine hayapaswi ulizwa ni maswali yenye majibu kwa kuona tu mfano jinsia, ulemavu nk ila vijana wanauliza kitu kinachofanya watumie mda mwingi kuuliza swali speed ndogo matokeo yake mpaka mda huu Kuna kaya hazijafikiwa na Leo mapumziko je na kesho na kesho kutwa itakuwa mapumziko na kanuni za sensa zinasemaje zoezi ni siku moja tu ukizidisha siku umeharibu utachukua tarifa zisizo sahihi.

Haya nani tumchune ngozi aliyeamua makarani wawe wachache au aliyeamua walimu wasiwepo kundi ambalo linauzowefu wa kuandika na kusahihisha.
Una pointi. Hivi ni kitu gani kiliwashinda kuchukua waalimu? Mbona walimu ndiyo wanajua hata kuongea na watu. Ila hili zoezi sijui litakuwaje.
 
Kata yangu waalimu ni wengi waliopata kazi ya sensa. Eneo la kuhesabia hadi sasa nakwenda mitamboni ni Nyumba nane tuu zimeshafikiwa na makarani. Nadhani kungekuwa na mifumo imara ya kuunganisha takwimu haya yoote yangefanyika vizuri. Maswali yanayoulizwa kwenye dodoso ndo yale yale ambayo tunaulizwa kila siku tukienda kufata huduma za kijamii na kiuchumi kwenye ofisi za serikali.
 
Una pointi. Hivi ni kitu gani kiliwashinda kuchukua waalimu? Mbona walimu ndiyo wanajua hata kuongea na watu. Ila hili zoezi sijui litakuwaje.
Nikudhalau mawazo ya waliowatangulia angalia hata zoezi la anwani za makazi limeenda ovyo kwa sababu hiyo hiyo wanachukua vijana wasio na uzoefu wa kazi wanawapa jukumu zito lenye kuitaji uzoefu kwanza na kujiamini, mwalimu kufundisha ndio kazi yake so ana uzoefu wa kuelekeza na kusikiliza kwaiyo ukimmpa marifa kidogo kuhusu kazi anauwezo wakuitekeleza kwa sababu inafanana na majukumu yake

Hatujui ni nani uko wizarani anayetoa mawazo ya walimu kuachwa kwenye kazi hizi tumeona hata NECTA nao mwaka Jana Kuna ujinga waliuleta nadhani majibu waliyapata na sizani kama watarudia ule mchezo wao eti wasimamizi wa mitihani wanatuma majina wao NECTA mwisho wa siku wakateua wasimamizi ambao hawajui lolote wakaharibu kazi vibaya

Wito wangu masuala ambayo walimu wamekuwa wakideal nayo acheni ingilia mnaharibu
 
Acheni kukosoa Kila kitu Cha serikali mbn mfumo uko pw! Pia tusiishi kwa mazoea kuhusu ufanisi upo wa kutosha mafunzo wiki tatu kasoro si mchezo wameiva! Kama yatatokea mapungufu hayo ya ubinadamu!!!
 
Mnawaheshimu sana walimu wakati ndio chanzo cha kuvuruga mambo yote kama misingi bora ya uadirifu ungefundishwa mashuleni leo hii tusingezalisha wasomi wasiothamini utu wa mtu,
angalieni nchi zingine jinsi gani walimu wanawafundisha misingi bora ya uzalendo na kuheshimu mali za umma, Kazi ya walimu ni kuingia na rundo za kuni darasani akidhani nidhamu hufundishwa kwa fimbo,
Waalimu kitu gani kila mtu akipewa nafasi kwa zamu yake anaweza kufanya vizuri haijarishi ni mwalimu au sio mwaali
 
Ni masalia ya viongozi flani awamu iliyopita ambao wenyewe wanadhani wanawakomoa Walimu..
Huwezi kumkomoa mwalimu aliyebarikiwa na Mungu..
Subirini tu muone wote mtaungana na mtoa mada..
Time Will tell
 
Ni masalia ya viongozi flani awamu iliyopita ambao wenyewe wanadhani wanawakomoa Walimu..
Huwezi kumkomoa mwalimu aliyebarikiwa na Mungu..
Subirini tu muone wote mtaungana na mtoa mada..
Time Will tell
Dah!...
 
Jambo lilishaharibika, huku karani katembelea kaya nne tu, yuko slow bora ya konokono!
 
Back
Top Bottom