Tetesi: Gara B - Mc Ufunguzi World Cup Qatar 2022

Alichofanya ni simple tu hata wewe unaweza....hakuwa commited before so kasubilia wanyama wakali wamekuja harusini na yeye kapoint hapo hapo vipengele vya tabia njema yeye havikuwa vipaumbele vyake.
Mwana anakojoa pazuri kama hivyo, warembo wadada wanapenda wanaume wa vile.
 
Katika Muendelezo wa Mafanikio ya Mkoa wa Kagera mara baada ya shule za Kemebos kuwa wa kwanza kitaifa na kimataifa sasa ni zamu ya Mc wa Kimataifa Mc Gara B kung'aa kimataifa baada ya kupata tenda ya kuongoza ufunguzi wa World cup huko Doha, Qatar
Hahahah
Ukichanganya Kushabu, tambuu na kuberi kwenye ile kitu ya Chuga lazima utokelezee namna hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…