Tetesi: Gara B - Mc Ufunguzi World Cup Qatar 2022

Jamani huku hakuna umeme waungwana mliofuatilia ufunguzi wa kombe la dunia GaraB amapafom vipi huko kama mc?🤣🤣
 
Katika Muendelezo wa Mafanikio ya Mkoa wa Kagera mara baada ya shule za Kemebos kuwa wa kwanza kitaifa na kimataifa sasa ni zamu ya Mc wa Kimataifa Mc Gara B kung'aa kimataifa baada ya kupata tenda ya kuongoza ufunguzi wa World cup huko Doha, Qatar
Ishomire ufunguzi umeendaje?
 
MC Gara B tangu jana bado anapeform tu. Yaani Nshomile ye ni nonstop mpaka World Cup iishe
 
Labda mlimpeleka akafanye Umc kwenye ndondo cup

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…