Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hello JF,
Nitoe angalizo na kuwakumbusha viongozi au wenye mamlaka, acheni kulalamika au kuaibisha mamlaka zenu au nafasi mlizonazo, fanyeni kazi, nchi hii ina heshima kubwa epukeni kuaibisha nchi.
Mnaowateua hawaombi kazi sasa iweje uropoke maneno ya aibu kwa taifa, libebe mwenyewe kifuani kwako acheni hizo.
Fanyeni kazi acheni utani na ofisi za Jamhuri. Zingatia weledi na mkishindwa pisheni wengine kuliko kunena maneno ya aibu kwa taifa zima.
Ni hayo tu.