TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Mitandao ya Kijamii na watu mbalimbali zikiwepo Asasi za Kijamii zimemshika pabaya kama siyo kumchakaza kwa comments mtangazaji Gardner baada ya kutoa kauli isiyo na chembe ya utu uzima.
Nisikuchoshe endelea...
Kati ya kauli iliyoibua mijadala mikubwa kwa sasa ni hii ya kijana mwenzenu Gardner Habash kuwa;
Mchango:
Soma:Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu waziri aingilia kati..
Nisikuchoshe endelea...
Kati ya kauli iliyoibua mijadala mikubwa kwa sasa ni hii ya kijana mwenzenu Gardner Habash kuwa;
"Natamani mwanangu Karen awe na mahusiano na mtu mkubwa mwenye umri kama wangu 'Sugar daddy' ili amtunze, kwasababu watu wa umri wake hawawezi kumuelewa wala kumsaidia chochote, wao wenyewe wanatafuta maisha, halafu umpe mzigo kama huu ataweza kulipa bill zake?"
Moja ya komenti hii hapa: 👇Demi kila kitu kina asili ya Roho kuna kitu kibaya kinaweza kuja kutokea mbeleni (kama bado) kati ya wawili hawa
Ni ngumu sasa Gadna kuishi na mwanamke kwakuwa kuna sehemu kama hii ya Mahusiano kachukua mtoto.. Sehemu hii muhimu yenye viashiria vya kubebishana
Vile vile itakuwa vigumu kwa binti kupata mume wa kutulia naye kwakuwa atataka atendewe naye kama alivyokuwa anatendewa na baba yake
Lakini pia bila kujua wawili hawa wanatoa ujumbe mzito sana
Jr[emoji769]
Soma:Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu waziri aingilia kati..