Gardner achakazwa baada ya kumkuwadia mwanae

Gardner achakazwa baada ya kumkuwadia mwanae

Daaah! Hapo ndo akili yake ilopoishia na usishangae pia naye uyo Gadner analelewa na limama la miaka 60 au 70 hivi.

Nani aliyesema mtoto wa kike ni wakupata usaidizi tu toka kwa mwanaume?

Kuna siku nilishasemaga na kumwambia mtu, Hospitali ile ya vichaa ipo mbali sana uko Dodoma...ilipaswa iwe hapa karibu. Mtu kama uyu kabla tu hajaingia pake Mikocheni kazini kwake anapitishwa hospitalini anapimwa kwanza then ndo aende uko kituo chake cha kazi.

Noma sana tena sana, sidhani kama yuko okay kichwani kwake.

Daaaaah inasikitisha sana tena sana.

Melvine
 
mkulima asipokuwa makini anaweza kula mbegu
IMG-20200107-WA0076.jpeg
IMG-20200107-WA0065.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yahaya huyo...hajui uchungu wa malezi ya mtoto,kwa kiasi kikubwa Caren kalelewa na Mama yake baada ya yeye Gardner kumtosa Mama Caren ,wakato huo Caren akiwa bado mtoto mdogo sana.
Huko Clouds kuna wapuuzi wapuuzi wengi tu mfano wa Gardner na Mwana dada Diva,hawafai kuwa kioo cha jamii kwa matendo na maneno yao walifaa watoswe .
 
Kila mtu ana wishes zake na kupenda kuona mafanikio kwake na family yake. Sijui kwa nini watu wanaumia kwa wishes za mtu mwingine. Unafiki tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Na hapo dogo atakuwa kashakula heart breaks kibao...baba ndio mfariji; pengine mtoto alitaka hata kujiua


Nadhan mjadala ungewa what are likely scenarios ambazo baba anaweza sema hayo??

Hajakurupuka
 
Mbona hata yeye alikuwa Mario. Kalelewa na Jaydee. Sasa haya ndio maelekoezo anampa binti yake wa pekee. Hopeless kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hivi hamjui kuwa gadner huyo ni chapombe msimhukumu bure hapo alikuw ashatupia vyake nae ni binadam

Tunda la roho ni upendo
 
Mkuu ukiibiwa simu hauwezi kuandika "wezi watu wabaya sana daa" ila ila kuna lugha utaitumia kuandika.
Na hapo dogo atakuwa kashakula heart breaks kibao...baba ndio mfariji; pengine mtoto alitaka hata kujiua

Nadhan mjadala ungewa what are likely scenarios ambazo baba anaweza sema hayo??
Hajakurupuka
Sasa kama mjukuu wangu aliumizwa kwa nini babake asieleze kwa ufupi ndipo aweke na hayo maneno chini?.

Hivyo ni vigumu kuwa na mjadara kwa jambo usilolijua, kumbuka...
'Hekima inaonekana pale unapomwambia mtu jambo kwa lengo la kushauri au namna nyingine'
 
Back
Top Bottom