wewe una akili au matope huko kichwani mwako?
mzazi anaetaka mwanae avamiwe na sugar daddy,tukio la kina amberrutty lingemkuta mwanae unafkiri linge muumiza? hao kina meninah wanafanya yale yote sababu ni pesa hakuna kingine.
wewe kubwa jinga ulieshindwa jiongeza kufahamu kuwa Gadner ni type ya wazazi ya wafurahiao ushenzi kwa watoto zao,narudia tena wewe ni andazi tena la mama ntilie wa kwa mtogole anaekanda unga huku akipenga kamasi na mkono huo huo anao kandia unga.
Andazi linalotoka ndio wewe hapo,Jinga La mwisho kitumbua wewe.
Kumbe hoja zako ili uweze kumshawishi mtu unatukana sana,😂
Dunia haiko hivyo bahati mbaya, Gardener kasema huo unaosema utumbo na wako wanao msupport
Dunia ya sasa hatuna jamii ya vijana ambayo inafanya mapenzi baada ya kuoana tu! Yaani i am sure hata mama yako kabla ya kuolewa baba yako alipata honjo, kisha baada ya honjo angeweza kuamua kumuacha mama yako na kukutelekeza wewe....
GF and BF thing and Fiancee hizi bado ni kama betting tu kwa vijana wa siku hizi!!! sijajua jinsia yako lakini nina hakika umeachwa sana, na umeacha sana na SIDHANI KAMA HIZO NI HEALTHY AU ACCEPTABLE BEHAVIOR kwenye society ila kwa sababu UMEONA anaongea utumbo, umesahau kujua kuwa sio makusudio ya Mungu KUWA vijana walalane na kuachana, ulitakiwa ulale na binti uliyeoa na au ulalwe ukiwa umeolewa!!! jamii nzima akiwemo wewe haujawahi kutukana binadamu na dunia kwa hizi tabia ambazo ni sehemu ya maisha
Kibaya zaidi tabia hizi za kulalana na kuachana hovyo kuanzia teenagers, 20s, 30s, hazijawahi kupatiea ufumbuzi na jamii na WEWE GENIUS haujawahi kukemea hata siku moja...........ila tuna watoto yatima, watoto wanatupwa, mimba zaina choroporewa na yote haya ni WRONG RELATIONSHIPS
Huyu Gardner kawa selfish tu na kaongea out of desperate as parents kwa kuona hayo ni JAMBO GANI linaweza kuzuia hayo? yeye anaona solution ni sugar daddy ambao nao wengi wahuni tu!!! kwa hiyon mtazamo wako ni kuwa kaoa bora mwanawe atunzwe na atulie na mtu mmoja.....ni wa kike yule anatakiwa kutunzwa nina hakika hata wewe unatunzwa
GARDNER hana hela? mwanawe hana hela? are you sure?
siku ingine jaribu kuwaza kila angle, kila aspects, kila kona, jaribu kujiulza why mtu mzima aongee kama vile tena kwenye media!!!! ni mtu wa media yule
sasa mzee baba au dada mama genious na unayejua ethics, tabia nzuri ANZA Na kuleta solution UNAONDOAJE huu uozo wa jamii za kulalana na kuachana tu?? ukiweza kujibu njoo kwenye solution , usikimbilie dini hapa!! be practical
Halafu, mbona matusi yako yanatamanisha sana? unatukana andazi, kitumbua; tukana matusi mazito mazito ya kuudhi bwana, mwenzio kwa uzoefu wangu wa miaka 13 humu, sijaona wenye akili za kujenga hoja kama wewe wanaweza ishi humu, utaishia kukimbia na kuihsia instagram
Pili matusi hayaumi kwa mtu ambaye haumfahamu na ana ID ya uongo, so jenga HOJA , NA SHAWISHI