Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu ana wishes zake na kupenda kuona mafanikio kwake na family yake. Sijui kwa nini watu wanaumia kwa wishes za mtu mwingine. Unafiki tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama mjukuu wangu aliumizwa kwa nini babake asieleze kwa ufupi ndipo aweke na hayo maneno chini?.Na hapo dogo atakuwa kashakula heart breaks kibao...baba ndio mfariji; pengine mtoto alitaka hata kujiua
Nadhan mjadala ungewa what are likely scenarios ambazo baba anaweza sema hayo??
Hajakurupuka