Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera Gardner mtoto mzuri kishenzi Utapiga hela.Mitandao ya Kijamii na watu mbalimbali zikiwepo Asasi za Kijamii zimemshika pabaya kama siyo kumchakaza kwa comments mtangazaji Gardner baada ya kutoa kauli isiyo na chembe ya utu uzima.
Nisikuchoshe endelea...
Kati ya kauli iliyoibua mijabara mikubwa kwa sasa ni hii ya kijana mwenzenu Gardner Habash kuwa;
View attachment 1314983
"Natamani mwanangu Karen awe na mahusiano na mtu mkubwa mwenye umri kama wa wangu 'Sugar daddy' ili amtunze, kwasababu watu wa umri wake hawawezi kumuelewa wala kumsaidia chochote, wao wenyewe wanatafuta maisha, alafu umpe mzigo kama huu ataweza kulipa bill zake?"Moja ya komenti hii hapa: 👇
View attachment 1314984
Mchango:
Soma:Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu waziri aingilia kati..
Mkuu ulivotaja kwa Aziz umenikumbusha street langu la zamani ..nimeishi Sana paleBaelezee! baelezee! Baba Mukuru! Mario ni neno linalo wakaa sana maskini hivi, eti mke akiwa mwalimu na Vi-sofa vya keko! ni tajiri tayari! jamani! ukioa huyo wewe ni mariooo! heee! nyie watu!
Hata Gardner ana hela amesoma, familia zote za pande mbili zina hela, hivo wamekutana wenye nazo! mlie tu!
Nyie mnaosota Kwenye mikoko ya kwa Azizi Ally Bondeni, oaneni hukohuko! tuacheni sisi wa Oyster Bay tuishi kivyetu! Jide hana mali ya kutisha mtu ni maisha ya kawaida, au huto tu gari ndo mnatetemeka?
Ukiishi Bongo utakuwa mjinga sana,Maskini, bora uishi na ujichanganye mbele huko! hawa wajinga wakuone kwa msimu! yaani eti kighorofa kimoja cha mawazo wewe tayari ni tajiri, unaogopwaaa!
Wakati Uganda ukiwa na Lunch + Farm-Estate la maana unaitwa ''kanjanja mkanja Bhuro''