Gardner adaiwa kumpandisha Jide kortini

Gardner adaiwa kumpandisha Jide kortini

You're very right, Gadner ana mchango mkubwa sana katika mafanikio ya Jide sema tu watu wanashindwa kuona! Gadner ni mtu wa watu... kwa maana ya networking! Ukaribu wake na akina Kusaga ulimsaidia sana na yeye kujisogeza karibu na watoa michongo hapa mjini!! Hizi networking za Gadner zimefanya mengi sana kwa Jide kuanzia redioni, Nyumbani Lounge hadi kwenye sponsorship za hapa na pale! Atakayekataa mchango wa Gadner ni yule tu ambae hafahamu biashara za hapa mjini zinaendaje... kwa msanii unaweza kuwa na kila kitu lakini usipokuwa na watu wenye network wa kuweza kukupa back up, then you're done!

si tunalilia haki sawa ndio fifty fity hiyo...... mali tunagawana
Garder na ukitombi wake ila ana part aliyoplay kwenye mafanikio ya Jide
 
si tunalilia haki sawa ndio fifty fity hiyo...... mali tunagawana Garder na ukitombi wake ila ana part aliyoplay kwenye mafanikio ya Jide
Umeona enh... mambo ya haki kwa wote hayo from Beijing to Bongo na ndio maana hata wataalamu wa mambo wakasema "ukiwa hodari wa kullilia na kuvimeza vya wenzako vilivyo vitamu basi hata vilivyo vichungu huna budi kuvimeza! Na kama itakuwa ni lazima kuvitema, basi usiviteme kwa chuki na hasira...!" Unaangalia kulia, kisha kushoto, ukiona hakuna anayekuangalia... unavitema, kisha unabugia fanta ka' sio wewe vile!!
 
Kwa level ya kudai talaka? Au hii ni chumvi ya mwandishi kunogesha habari yake?

Mwanaume ana haki ya kudai talaka na Mahakama ikijiridhisha ndoa hiyo haiwezi kusimama tena mahakama inaivunja ndoa rasmi with divorce decree.
 
si tunalilia haki sawa ndio fifty fity hiyo...... mali tunagawana
Garder na ukitombi wake ila ana part aliyoplay kwenye mafanikio ya Jide

Umeona enh... mambo ya haki kwa wote hayo from Beijing to Bongo na ndio maana hata wataalamu wa mambo wakasema "ukiwa hodari wa kullilia na kuvimeza vya wenzako vilivyo vitamu basi hata vilivyo vichungu huna budi kuvimeza! Na kama itakuwa ni lazima kuvitema, basi usiviteme kwa chuki na hasira...!" Unaangalia kulia, kisha kushoto, ukiona hakuna anayekuangalia... unavitema, kisha unabugia fanta ka' sio wewe vile!!

Kwakweli kwenye swala la haki huwa sipendi mtu adhurumiwe haki yake, kwa hili ni pasu kwa pasu.
 
Hivi kwanini hawaja zaa wangezaa labda iyo ndoa ingenusurika au kati yao mmoja kimeo
 
Namuunga mkono G Habash kwa 100% hawa wanawake wanatuonea sana ni kichaa peke yake asiyejuwa mchango wa G Habash kwenye mali walizochuma ndani ya ndoa na hakuna kisingizio cha kutogawanywa mali maana hawana watoto, wangekuwa na watoto tungesema mali ni za watoto.

Cc Pasco si haki itendeke tu bali ionekane imetendeka.

Ukweli na usemwe jamani nani asiyejua mchango wa Gardner kwa mandeleo yao? Kusa ukweli anahaki ya mali waliyochumampk aliacha kazi ili waendeleze miradi yao!
 
kugawana mali ni ktu cha kawaida ndo ndoa izi za kibongo tunakataa kusainishana pre nap madhara ndo aya!!! human being always refuses to be realistic.
 
Watu mlivyoshupaa eti pasu kwa pasu.....simple like that?? huh

Gadner atapewa stahili yake ila issue ya pasu kwa pasu huwa ni ngumu sana japo wengi huwa wanafile kwa mtindo huo.
Anyways.....ngoja tusubiri tuone!
 
Kuzaa ni majaaliwa

Either of the two, 1mbegu za mwanaume hazina uwezo wa kuzaa 2 mwanamke itakuwa alitoatoa mimba akiwa shule.

Kuna mdada namjuwa miaka ya 90's ndio waliokuwa wanatingisha Jangwani girl school baadaye akaolewa na classmate wangu uku akiwa ameshazaa na mwanaume mwingine lakini tangu wamefunga ndoa kanisani na rafiki yangu hajawahi kupata mimba na mzuri kwelikweli.
 
Sasa hiyo staili yake inakuwa calculated vipi Avemaria? Hizi sheria zenu za serikali zinasema hata kama jamaa angekuwa anabaki home wakati Jide yupo mzigoni, bado angekuwa na haki sawa unless Jide atoe vielelezo kuonesha kwamba XYZ vilipatikana kabla ya ndoa yao!! Sasa assume wakati wa penzi changa na ujana, ilikuwa ni kujirusha kwa sana ( si unamjua tena Gadner) na pesa iliyokuwa inatumika ni ya mdada to the point, hadi wanafunga ndoa tuseme bank a/c ilikuwa na sh. 25million! Hiyo 25m (tutafanya adjustment kwa viwango vya sasa) ndiyo Gadner hataruhusiwa kunusa... haimuhusu unless kama Jide alimsainisha mkataba Gadner kwamba katika nafasi yake kama meneja basi stahiki yake ilikuwa kiasi fulani kwa mwezi otherwise, itaonekana ni mali ya wote na ambacho kiliwepo ni mgawanyo wa majukumu... huyu anaimba yule ana-facilitate!!
 
Last edited by a moderator:
kwa shilole yule sijui labda wagawane tattoo
Lakini usisahau kwamba kuna tofauti kubwa sana kati ya Shilole na baby boy wake kwa upande mmoja na Jide na Gadner kwa upande mwingine! Shilole na Nuhu wake ni mahawara (ingawaje sheria inasema ikipita miezi sita, mnaweza kugawana mafao) lakini Gadner na Jide ni mahawara kwa mujibu wa dini yao lakini kiserikali ni wanandoa coz' walifunga ndoa ya serikali a.k.a ndoa ya bomani!!
 
Tatizo la wa TZ wanadhani mchango lazima uwe wa mali au pesa. Wanashindwa kujua kua mchango wa mawazo na nguvu ya mtu hushinda mali na pesa wakati mwingine. Gardner, niko na wewe, you've done so much kwa yule mwanamke, unahitaji mgawango wa mali, pasu kwa pasu. Hakuna asojua kua bila wewe Jide asingekua hapo alipo. Umemsaidia kwa mengi. Nakutakia kila la kheri, na insha allah nguvu yako italipwa.
You're very right, Gadner ana mchango mkubwa sana katika mafanikio ya Jide sema tu watu wanashindwa kuona! Gadner ni mtu wa watu... kwa maana ya networking! Ukaribu wake na akina Kusaga ulimsaidia sana na yeye kujisogeza karibu na watoa michongo hapa mjini!! Hizi networking za Gadner zimefanya mengi sana kwa Jide kuanzia redioni, Nyumbani Lounge hadi kwenye sponsorship za hapa na pale! Atakayekataa mchango wa Gadner ni yule tu ambae hafahamu biashara za hapa mjini zinaendaje... kwa msanii unaweza kuwa na kila kitu lakini usipokuwa na watu wenye network wa kuweza kukupa back up, then you're done!
 
Sasa hiyo staili yake inakuwa calculated vipi Avemaria? Hizi sheria zenu za serikali zinasema hata kama jamaa angekuwa anabaki home wakati Jide yupo mzigoni, bado angekuwa na haki sawa unless Jide atoe vielelezo kuonesha kwamba XYZ vilipatikana kabla ya ndoa yao!! Sasa assume wakati wa penzi changa na ujana, ilikuwa ni kujirusha kwa sana ( si unamjua tena Gadner) na pesa iliyokuwa inatumika ni ya mdada to the point, hadi wanafunga ndoa tuseme bank a/c ilikuwa na sh. 25million! Hiyo 25m (tutafanya adjustment kwa viwango vya sasa) ndiyo Gadner hataruhusiwa kunusa... haimuhusu unless kama Jide alimsainisha mkataba Gadner kwamba katika nafasi yake kama meneja basi stahiki yake ilikuwa kiasi fulani kwa mwezi otherwise, itaonekana ni mali ya wote na ambacho kiliwepo ni mgawanyo wa majukumu... huyu anaimba yule ana-facilitate!!
Ulichonifurahisha ni kwamba we mwenyewe umeanza kujaribu kuweka vi assumption na maneno kama unless/vielelezo. That means issue ya pasu kwa pasu haiko clear ama straight kama ambavyo wengi wanaiportray na ni ukweli usiopingika kwamba si wanandoa wote huishia kugawana fifty fifty baada ya divorce. Anyways.......labda wengi tumeassume kuwa vyote ni matrimonial properties!
 
Last edited by a moderator:
Either of the two, 1mbegu za mwanaume hazina uwezo wa kuzaa 2 mwanamke itakuwa alitoatoa mimba akiwa shule.

Kuna mdada namjuwa miaka ya 90's ndio waliokuwa wanatingisha Jangwani girl school baadaye akaolewa na classmate wangu uku akiwa ameshazaa na mwanaume mwingine lakini tangu wamefunga ndoa kanisani na rafiki yangu hajawahi kupata mimba na mzuri kwelikweli.

Haaaaaa na siku hizi kutungua mimba imekua kama fashion..

Gardner ana mtoto alizaa na mwanamke mwingine sio Jide ko dada komando ana shida hapo
 
Back
Top Bottom