Sure... na hizo conditional a.k.a assumptions kama ulivyoziita nilishazisema tangu awali... kwamba kile kitakachothibitika ni jasho la Jide peke yake lazima kitawekwa pembeni na kama kuna cha Gadner peke yake nacho kitawekwa pembeni halafu wataangalia kama kuna makubaliano yoyote kati yao! Hilo ni lazima coz' haiwezekani na wala haitakuja kutokea kwamba, let's say leo hii Mzee Mengi anavuta Avemaria halafu siku unapewa cha mbavu halafu udai pasu kwa pasu... itakuwa ni wizi wa mchana kweupe!! Haya nimekufurahisha, na mimi nifurahishe basi manake nimenuna tangu jana baada ya kukimbiwa na nifah...Ulichonifurahisha ni kwamba we mwenyewe umeanza kujaribu kuweka vi assumption na maneno kama unless/vielelezo. That means issue ya pasu kwa pasu haiko clear ama straight kama ambavyo wengi wanaiportray na ni ukweli usiopingika kwamba si wanandoa wote huishia kugawana fifty fifty baada ya divorce. Anyways.......labda wengi tumeassume kuwa vyote ni matrimonial properties!
Last edited by a moderator: