Gardner G Habash Abambwa na Dogodogo

Gardner G Habash Abambwa na Dogodogo

Hahaaa itakua pozi la picha....

Kwa Mtu kama G kuonekana kwenye pozi za aina hiyo si ishara nzuri! Ikumbukwe kuwa hapo Jide naye alikuwepo hivyo kama tulivyo zoea ni lazima tungewaona wako pamoja na karibu zaidi!
 
Duuu Noma sana kati yao kuna mmoja anaumia sema wanajua kujikaza!
 
Attachments

  • 1413016124766.jpg
    1413016124766.jpg
    24 KB · Views: 1,100
  • 1413016146736.jpg
    1413016146736.jpg
    69 KB · Views: 1,162
Duuu Noma sana kati yao kuna mmoja anaumia sema wanajua kujikaza!

Hahaaa Jide akiwa na Jackson hapo.... event moja full kukimbizana, kama ile Show ya Jay na yenyewe ilikua hivyo hivyo.

Zile tetesi zimeanza kujidhihirisha sasa.
 
kijana mmoja wa Tanga niliwahi kusoma stori yake kwenye page ya Mboni Masimba.. natamani kujua what happened to him,nikadhani waeza kua unamfaham

Nimevisit profile yake nimetaman hadi kulia.. haya maisha safari ndefu

mpaka nami nimekua interested vipi alifanyaje
 
kijana mmoja wa Tanga niliwahi kusoma stori yake kwenye page ya Mboni Masimba.. natamani kujua what happened to him,nikadhani waeza kua unamfaham

Nimevisit profile yake nimetaman hadi kulia.. haya maisha safari ndefu

Bado hali yake iko vile vile anatia huruma kwelo yule kijana, kweli ujafa ujaumbika, alafu kijana ni Bonge La Handsome, yule ni the Real Definition ya Super Handsome sio kina ommy Dimpoz mpaka warembue machoImageUploadedByJamiiForums1413017485.447051.jpg
 
Amesema "amepiga picha na mabinti tofauti tofauti"......then amesema "nature ya kazi yake"....nadhani angeongezea "unajua tena nature ya kazi yangu plus kilauri"...so tusiamlaumu yeye tulaumu kilauri coz kadri saa zilivyokuwa zinaenda alidhani yupo na demu tofauti kumbe ni yule yule....

Namuunga mkono G....blame it on the alcohol.
 
Hahaaa Jide akiwa na Jackson hapo.... event moja full kukimbizana, kama ile Show ya Jay na yenyewe ilikua hivyo hivyo.

Zile tetesi zimeanza kujidhihirisha sasa.

Yeah hakika kuna tatizo kubwa kati ya G na J
 
hapana sipo kule napaogopa sana kuliko facebook

Unaogopaga nini sasa...

Huyo kijana alipata ajali 2007 huko Tanga.. alikua mzima wa afya tele alikua Dar then akaenda kwao Tanga alivyorudi marafiki zake kumuona wakasema waende beach kwa wafurahi siku nyingi hawajaonana hapo ndio historia ya maisha yake ilibadilika
walienda beach baadae wakawa wana dive ndio hapo akajibamiza kichwa chake kwenye ocean floor, tangu huo muda hadi sasa ka paralyse hawezi lolote

Umeona picha kaweka mamakibunju ni handsome ana smile mwenyewe wala huwezi kudhania kama mtu mgojwa, ila ukoina huo mwili wake Shark acha kabisaaa, nenda you tube search stori yake.. ila Ig ndio kuna picha nyingi utaona jinsi alivyo na mengineyo
 
Last edited by a moderator:
Bado hali yake iko vile vile anatia huruma kwelo yule kijana, kweli ujafa ujaumbika, alafu kijana ni Bonge La Handsome, yule ni the Real Definition ya Super Handsome sio kina ommy Dimpoz mpaka warembue machoView attachment 192265

Hivi nyie huwa mnataka wapate matatizo watu Gani? Yani wasio mahandsome wapate matatizo, ila mahandsome wasipate! Hakika Bin adam mngekuwa nyie ndio mnaotoa riziki sijui ingekuwaje!!! Anyway,
 
kijana mmoja wa Tanga niliwahi kusoma stori yake kwenye page ya Mboni Masimba.. natamani kujua what happened to him,nikadhani waeza kua unamfaham

Nimevisit profile yake nimetaman hadi kulia.. haya maisha safari ndefu

Binamu story ya Dogo inasikitisha sana kwa Kweli....
 
Uyo anayeumia zaid ni jide tuu maana hyo ndiye aliyeoza kwa mwenzio na ndio mwenzake G hana habar anaselebuka tuu na dogodogo

Hadi Jide kakonda... uso hauna furaha kabisa ule, mapenzi haya yanauma jaman....
 
Back
Top Bottom