TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Ninakuelewa sana kaka!
Licha ya Kuwa Daktari na kuona watu wengi wanaopitia "Alcohol Withdraw Syndrome"

Mimi Mwenyewe Niliwahi Kuwa Mhanga wa Matumizi ya Pombe Kupita Kiasi "ni vigumu sana kuacha hata kama Ukitaka kufanya hivyo"

Ila Nashukru Niliingia kwenye Baadhi ya vitu ambavyo vilinifanya Niache Pombe baada ya Mwaka kupita ila nilkunywa Pombe kwa Miaka zaidi ya 10..

Kwa Hiyo Huwa Simlaumu wala Simsemi Vbaya Mtu anayekunywa Pombe kwa sababu...

I'Ve Been There, And najua Ilivyo ngumu na Jitihada za kutoka ila Huwa ni vigumu Kutoka..
 
Mkuu uliingia kwenye mambo gani ambayo yalifanya uachane na pombe ..maana nimejaribu kuacha zaidi ya Mara 100 nakaa wiki narudi kwa kasi
 
Pole familia, pole ndugu, jamaa na marafiki kwa msiba huu mzito..
R.I.P Capt G Habash
 
Uko sahihi sana, na ndio sababu nikamalizia na phrase kuwa maisha ni bahati!!
Kuna watu wanajaaliwa miili yenye uimara na ushupavu wa afya na wengine ni kinyume chake, Binafsi ni asthmatic, moja ya vitu nikila sitoboi ni karanga!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…