TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Binafsi Mimi nilikua mpenzi sana wakusikiliza JAHAZI hasa segment ya Mastory ya town kipindi kibonde akiwepo, kibonde alipofariki ndio nikaacha kabisa, Sasa Gardner nae kaenda, kile kipindi kina PENGO KUBWAView attachment 2968957
SBL na TBL ziepoteza watu muhimu sana wa kutangaza ulabu hii mijamaa ilijuwa kutangaza bear kwa mbwembwe ,angalizo tunywe bear 2 kwa kila siku kwa masaa mawili au toti moja tu kwa siku ikibidi ichanganywe na limao na barafu
 
mzee ramadhan ni mtaalam wa nyota biashara mali bira kafara mausiano cheo nk 0682022727. WAtoto wa mjini hao
Screenshot_20240526_075054_Gallery.jpg
 
Hiyo insatakiwa kabla mtu hajafa, utaipata wapi amani baada ya kufa? Ulisikia kuna vita huko?

Hivi nyinyi mbona mnafikiri kinyumenyume? Au mndiyo mshazoweshwa kinyume nyume?

Wajinga ndiyo waliwao.
Sijui utaacha lini ukorofi!
 
Back
Top Bottom