TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Haya mambo hayana formula.
Kila mtu na mwili wake na namna unavyoreact ni tofauti. Kuna mtu akinywa au kuvuta kidogo tu tunamzika. Na kuna wengine wanazeeka walevi wakudumu.

Kuna mzee 1 mtaani anasema ameanza kuvuta sigara 1960, yeye amezaliwa 1939 kwa sasa ana miaka 85. Mzee anavuta sigara pakti 1 na nusu mpaka 2 kwa siku, ni chain smoker kweli kweli na ni mzima. Anatembea mwenyewe na bado anaonekana yuko fit.

Nakuunga mkono, tunaishi kwa rehema zake Mola tu. Kuwa shujaa sana wa mazoezi au kuacha kunywa/kuvuta sio guarantee ya kuishi maisha marefu.

Tuombe mwisho mwema.
Hakika ndugu yangu 🙏🙏🙏
 
Aisee poleni sana.kazi ya Mungu Haina makosa,Anko G amewachia mtoto na mjukuu mjukuu mumuangalie Kwa makini
Hakika, tutamfariji mtoto wa kike na mjukuu.
IMG_20240421_065157.jpg
 
Nani aliwahi kuongeza ata sekunde ya uhai wake?.Ukiona hujafa jua hakijafika,kifo kikifika hakuna namna lazima ufe.Na hakuna kiumbe anayeweza kupambana na sababu itakayosababisha kifo chake.mengine ni mbwembwe tu za binadamu.
Siyo kweli. Kuna vitu mnavichukulia kirahisi. Yaani wewe uambiwe huyu malaya ana HIV halafu uende kulala naye bila condom kwa vile Mungu anajuwa siku yako?

Au kibaka aende barabara ya Congo pale Kariakoo aibe tu kwa sababu Mungu anajuwa siku yake ya kufa!!

Uingie tu kwenye mafuriko ya Rufiji kwa vile Mungu anajua siku yako ya kufa.

Acheni kumsingizia Mungu kwa vitu vya uzembe wenu. If you are careful you can live longer
 
Huyu kufa sishangai wala sishtuki, Ulevi uliopitiliza mpaka sura ikawa ya kilevi, Mwingine TID pombe mbaya, Ukishakua na sura ya kilevi jua umeshachakaa.

vijana waelewe
 
alikufa kwa ajili ya dhambi za wanadamu ili kila amwaminiye asipotee, haimaanishi kwamba yeye alishakufa kwahiyo hata ukitenda dhambi leo au kesho hautahukumiwa adhabu inaenda kwa Yesu. mnajidanganya, na hii ndiyo injili anayohubiri mzee wa neema wale wanaosapoti ushoga na wamefungiwa kanisa.ndio ilikuwa theme yao kwamba kwasababu Yesu alikufa kwa ajili ya dhambi basi hata ushoga fanya tu.
ishi ukijua una wajibu wa kutenda mema ama la utaenda motoni.

WAGALATIA 6:7 INASEMA: 7 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna. 8Maana yeye apandaye kwa mwili wake, katika mwili wake atavuna uharibifu; bali yeye apandaye kwa Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele. 9Tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho. 10Kwa hiyo kadiri tupatavyo nafasi na tuwatendee watu wote mema; na hasa jamaa ya waaminio.
jua leo wewe na mzee wa neema na mkewe grace vipodozi kwamba, sio kwamba neema ipo hivyo tutende tu dhambi kwasababu adhabu ni ya Yesu, NO, utaondolewa dhambi kwa kuzitubia kwake na kuziacha. pia Mungu hadhihakiwi. pia, neema ya Mungu inatutaka tuache chambi.
TITO 2:11 INASEMA: Maana neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa; 12nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia; tupate kuishi kwa kiasi, na haki, na utauwa, katika ulimwengu huu wa sasa; 13tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu; 14ambaye alijitoa nafsi yake kwa ajili yetu, ili atukomboe na maasi yote, na kujisafishia watu wawe milki yake mwenyewe, wale walio na juhudi katika matendo mema.

Moyo wangu umepokea sana huu mstari, Mungu anataka tukaishi kwa kiasi, haki, na tuishi kwa utauwa yaani ucha Mungu, huku tukilitazamia/tukilisubiria tumaini lenye baraka ambalo ni la ujio wa Yesu Kristo au thawabu ile tuliyowekewa kwa kutenda mema. tukihubiri hivi mnatutukana kwamba walokole hua tunajiona wasafi na hampendi kurekebishwa ati tunawaona ninyi wachafu, basi acheni kubishana na sisi, bishaneni na vifungu hivyo, laumuni vifungu hivyo vya Biblia, mwulizeni Mungu kwanini vipo.

NB: hayo mafundisho yenu ya mashetani mnapotosha watu, adhabu yenu itakuwepo siku ya mwisho.
Sasa kulikua na haja gani ya Yesu kufa msalabani kama bado tunapata dhambi?
Yeye ametufutia dhambi zipi?
........kila amwaminiye atapata uzima wa milele. Sasa mimi namuamini kwahiyo nna uzima wa milele, dhambi zinatoka wapi wakati Yesu alishatukatia bima ya dhambi?
 
Huyo Gadner kwa kumuangalia tu sio pombe zilizosababisha maradhi yaliyopelekea kifo chake,kwa kifupi jamaa alikua na dalili zote za mtu mwenye umeme.acheni kusingizia pombe

Ni kazeze ,ni kazeze ,ni kazeze.

Inasikitisha sana Jasiri Muongoza njia si alipita na Jide? Jide -> Captain.

Kwa Mabronzo,masista du,machizi,wazazi ,walimu na wanafunzi.


View: https://www.youtube.com/watch?v=yl7KSdlAciY

CC Maghayo
 
Back
Top Bottom