TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

R. I .P CAPTAIN. Msalimie sana FM Kibonde.
In heaven there is no Beer, That why we drinking here. We you go from Here, Your friend we'll drink your Beer.🍺🍺🍺🍻
Aisee Ume nikumbusha hiyo Nyimbo mkuu, kuzimu hakuna bia, ndo mana tuko hapa tuna kunywa bia.

Na Hata ukofa, msibani kwako tuta kunywa bia 😁🤓
 
Huyo mlevi na chapombe ulevi umeigharimu afya yake

Endeleeni kunywa na kujishindilia mi bia na miAlcohol kupitiliza kwa makusudi muue figo na maini

Mjifariji kwa kusema Kufa ni kufa

Mnamuona Dr Janabi ni Punguani hajui starehe anapowapa ushauri
Sasa Kuna faida Gani kufa ukiwa mzima?Kila Mtu atakufa hata ukinywa maji na mbogamboga
 
Acha kujidanganya, walokole wangapi wanakufa vijana kabisa bwana!na sio Kila kifo ni ni na Figo,unaweza tunza sana in na Figo yako ukafa na ajali,so be humble mkuu Dunia Haina mwenyewe hii
 
Mkuu uliingia kwenye mambo gani ambayo yalifanya uachane na pombe ..maana nimejaribu kuacha zaidi ya Mara 100 nakaa wiki narudi kwa kasi

Acha kujidanganya, walokole wangapi wanakufa vijana kabisa bwana!na sio Kila kifo ni ni na Figo,unaweza tunza sana in na Figo yako ukafa na ajali,so be humble mkuu Dunia Haina mwenyewe hii
Mwambie huyo

Ova
 
Angalia huko barabarani unakokimbia usijegongwa na gari,na pia uwe makini vyakula unavyokula maana vyakula vingi vya Sasa ni genetic modification visikupe Kansa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…