Wewe endelea kufanya rationalisation tuu, kifo ni lazima lakini biblia inaongea miaka 70 angalau. Wewe unaua viungo vyako kama moyo, figo, ini na mapafu kwa pombe na sigara unakuja ku justify eti kifo ni kifo tuu. Kufa kizembe na miaka 30- 40 unajua ni hasara gani unaacha kwa wategemezi wako. Nyie mliokata tamaa na maisha msitafute wafuasi.
Huo mfano unaotumia wa mtu 1 sio realistic nenda kafanye tafiti expose watu 10 kwenye gongo kwa miaka 10 ndio uje utoe majibu ya tafiti yako kuwa ni wangapi wamebaki bila madhara.