TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Kunywa bia mzee Maisha hayana shukrani,Unapata hela unajitunza unakufa mapema na hufaidi.Piga gambe tu utakufa hata kwa Maralia.
 
Tunawaambia hakikisha angalau Kwa wiki unafanya mazoez Kwa siku tatu .

Punguza Pombe na Sigara au acheni kabisa.

Punguzeni Uzito

Punguzeni matumizi ya Chumvi

Punguzeni unywaji wa maji ulopitiliza

Punguzeni matumizi ya Vyakula vyenye mafuta .

Kua na mazoea ya kucheki shinikizo la Damu angalau Kwa mwezi Mara mbili .

Ukigundulika una tatizo la shikinikizo la juu la Damu, Tumia dawa .

Tatizo hili halitibiw Kwa MITI SHAMBA WALA NA DAWA ZA WAGANGA.

Madhara yakupuuza Matibabu ni..

Kupata matatizo ya Ubongo, Macho, Mapafu, Moyo , Figo, Maini, mishipa ya faham , matatizo ya nguvu za Kiume n.k ......Hapa hujaondoka??.
 
Je nikifanya hayo yote sitakufa mkuu?
 
Kila mtu atakufa ila epuka mateso kabla ya kifo ushaona mtu mzima anavalishwa pempasi endeleeni kumpuuza professor janabi kuna watu wamekatwa miguu kabla ya umauti wakati walikuwa wazima wa afya.
Kufa kwa mateso inategemea na ahadi yako, huwezi control hili,
Kupoteza viuongo vya mwili kwa amputation ni swala la bahati tu, sio lazima uugue sukari! Binafsi nimepoteza moja ya kidole cha mkono wangu wa kulia, sishangai sana kuona mtu kapoteza mguu!
Katika Hali ya kawaida kwa mtu timamu aliyefikisha miaka 30, lazima ajue Kuna vitu vya bahati sana vimetokea hadi napata huo umri, ni wachache sana wanaojiona wamefika hapo kwa juhudi zao.
 
Nenda mahospital utakuta mpaka watoto wadogo wamefeli figo , pombe nakunywa na hata leo nikitoka job nakunywa mpka nizime.
Hawa ni mavichwa panzi wakinywa bia mbili wanazima ndio manake wanadharau pombe mzee wangu ana miaka 87 ananyonya Konyagi mwitu ambayo mi siezi
Ni kikundi Fulani tu chenye wivu na starehe za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…