mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Kunywa pombeDah kama nilivyo tabiri wanywa pombe tutakavyo semwa kwenye huu uzi shenzii.
Kula vizuri
Fanya mazoezi
Kunywa maji mengi
Ila tu tusizidishe sanaaaa
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunywa pombeDah kama nilivyo tabiri wanywa pombe tutakavyo semwa kwenye huu uzi shenzii.
Baada ya kumpiga matukio.Jide atakuwa analia sana huko alipo, kule kumuimba kila siku yalikuwa ni mapenzi ya dhati aliyokuwa nayo kwa marehemu.
Pole Lady JD.
Nenda mahospital utakuta mpaka watoto wadogo wamefeli figo , pombe nakunywa na hata leo nikitoka job nakunywa mpka nizime.Watu wengi mnafanya masikhara na mzaha na figo ila ile ndio engine ya mwili.
🤣🤣🤣We jamaa kila mtu maarufu ni classmate wako.....alifariki Yule mzee mmliki wa precision air ukaja hapa R.IP CLASSMATE
Kunywa bia mzee Maisha hayana shukrani,Unapata hela unajitunza unakufa mapema na hufaidi.Piga gambe tu utakufa hata kwa Maralia.Wewe endelea kufanya rationalisation tuu, kifo ni lazima lakini biblia inaongea miaka 70 angalau. Wewe unaua viungo vyako kama moyo, figo, ini na mapafu kwa pombe na sigara unakuja ku justify eti kifo ni kifo tuu. Kufa kizembe na miaka 30- 40 unajua ni hasara gani unaacha kwa wategemezi wako. Nyie mliokata tamaa na maisha msitafute wafuasi.
Huo mfano unaotumia wa mtu 1 sio realistic nenda kafanye tafiti expose watu 10 kwenye gongo kwa miaka 10 ndio uje utoe majibu ya tafiti yako kuwa ni wangapi wamebaki bila madhara.
Ok sawa kila la kherNenda mahospital utakuta mpaka watoto wadogo wamefeli figo , pombe nakunywa na hata leo nikitoka job nakunywa mpka nizime.
Kazaliwa kwenye 72 iv.Ana miaka mingapi Gadner kwa mlioko msibani...
Je nikifanya hayo yote sitakufa mkuu?Tunawaambia hakikisha angalau Kwa wiki unafanya mazoez Kwa siku tatu .
Punguza Pombe na Sigara au acheni kabisa.
Punguzeni Uzito
Punguzeni matumizi ya Chumvi
Punguzeni unywaji wa maji ulopitiliza
Punguzeni matumizi ya Vyakula vyenye mafuta .
Kua na mazoea ya kucheki shinikizo la Damu angalau Kwa mwezi Mara mbili .
Ukigundulika una tatizo la shikinikizo la juu la Damu, Tumia dawa .
Tatizo hili halitibiw Kwa MITI SHAMBA WALA NA DAWA ZA WAGANGA.
Madhara yakupuuza Matibabu ni..
Kupata matatizo ya Ubongo, Macho, Mapafu, Moyo , Figo, Maini, mishipa ya faham , matatizo ya nguvu za Kiume n.k ......Hapa hujaondoka??.
MbusiiDogo Semenya Singatia usalama wa mbusii hapo malishoni.
Sauh'waah?!
Utakufa Mkuu vizuri tu ila ulifanya hayo yanakusaidia kuongeza siku sikuJe nikifanya hayo yote sitakufa mkuu?
Ujumbe huu ni wa maccm wotebinadaamu tuache maringo na kuonea binaadamu wengine.
maisha ya hapa duniani ni mapito tu. tusiringe na kujidai sana kama vile hatuwezi kufa.
tuheshimiane, tupenfane. r.i.p
Kufa kwa mateso inategemea na ahadi yako, huwezi control hili,Kila mtu atakufa ila epuka mateso kabla ya kifo ushaona mtu mzima anavalishwa pempasi endeleeni kumpuuza professor janabi kuna watu wamekatwa miguu kabla ya umauti wakati walikuwa wazima wa afya.
Mimi nilishaapa mafigo yafe yenyewe kwa sababu zake lakini sio kwa mimi mwenyewe kuyaua kwa kuyajaza sumu na mipombe. Hilo hapana.Matumizi ya dawa ya mda mrefu na unywaji wa pombe uliopitiliza unaua figo kama unavyokaanga chips.
Hawa ni mavichwa panzi wakinywa bia mbili wanazima ndio manake wanadharau pombe mzee wangu ana miaka 87 ananyonya Konyagi mwitu ambayo mi sieziNenda mahospital utakuta mpaka watoto wadogo wamefeli figo , pombe nakunywa na hata leo nikitoka job nakunywa mpka nizime.
Kwamba?Endeleeni kunywa pombe kupitiliza..!