😁😁😊Pilsner ni lipombe la mtama mkuu , hiyo kitu ni aibu hata kuliagiza labda unywee chumbani kutafuta vibe tu.Nasikia na plisner haina sukari ila mimi imenishinda, naona kama iko chini ya viwango vyangu binafsi.
Pombe wengine tunatandika sema ndy tunaizingatia masharti yakeSi ndio apo sasa😁
Ulikuwa unakunywa sumu mkuu sio kila pombe ni ya kubugia tu ,pole sana master ila mimi sio kijana 🤣🤣Nilipata stroke mwaka 2021 kwa sababu ya huo ulevi wa kupitiliza, nilala muhimbili siku tatu na kuanzia hapo ni mwendo wa maji tu na kina Tonic Water, ukiwa bado kijana endelea tu kubugia kilaji, nakutahadharisha tu tukiwa wote ni wanachama wa JF.
Kila mtu anakufa ila binadamu kifo chake sahihi ni 75 kwenda juu death by age .....yaani ufe ukiwa na miaka 75 kwenda juu .....so ukiishi ovyo utakufa kabla ya umri wako ndo madaktar wanashauri kuishi kwa kufuata masharti ili uishi muda mrefu ....Uspo kunywa pombe hautakufa,?? au unataka tufe na Figo nzima ili iweje dada ephen😜
Pombe zote ni hatari kwa moyo wako na hizo figo. Iwe unanunua ukiwa New Afrika iwe unanunua dukani kwa Mangi mtaani kwenu.Ulikuwa unakunywa sumu mkuu sio kila pombe ni ya kubugia tu ,pole sana master ila mimi sio kijana 🤣🤣
Kitaalamu sana , wengi wanakunywa na kufuga vitambi vya michemsho ya mbuzi bila mazoezi ,wanapata magonjwa ,wanasingizia gambe.Pombe wengine tunatandika sema ndy tunaizingatia masharti yake
Ova
Mimi mzee wangu ana miaka 87 na ameanza kunywa pombe zaidi ya miaka 60 iliyopita vipi yeye ana mkataba na mtoa roho?Kila mtu anakufa ila binadamu kifo chake sahihi ni 75 kwenda juu death by age .....yaani ufe ukiwa na miaka 75 kwenda juu .....so ukiishi ovyo utakufa kabla ya umri wako ndo madaktar wanashauri kuishi kwa kufuata masharti ili uishi muda mrefu ....
Ila kufa kila mtu atakufa shida unakufa katika umri gani ......raha ya dunia ni kuishi muda mrefu ukiwa na afya tele
Hakuna nchi watu wanakunywa pombe kama ulaya na America ,haswa Russia , angalia jinsi wanavyoweza kuzimudu na mazoezi makali na misosi ya kiafya , UGALI Ni hatari kwenye afya kuliko pombe mara kumi.Pombe zote ni hatari kwa moyo wako na hizo figo. Iwe unanunua ukiwa New Afrika iwe unanunua dukani kwa Mangi mtaani kwenu.
Si bora sisi tunaopiga biaKitaalamu sana , wengi wanakunywa na kufuga vitambi vya michemsho ya mbuzi bila mazoezi ,wanapata magonjwa ,wanasingizia gambe.
Kwamba wewe unaekunywa Juice Sugar Free na Maji utaishi milele...acha ujinga mkuu tena nyie ndio mnatanguliaga mapemaEndeleeni kunywa pombe kupitiliza..!
Nimesoma Ukraine, wanateseka sana na vifo vya magonjwa ya figo na moyo.Hakuna nchi watu wanakunywa pombe kama ulaya na America ,haswa Russia , angalia jinsi wanavyoweza kuzimudu na mazoezi makali na misosi ya kiafya , UGALI Ni hatari kwenye afya kuliko pombe mara kumi.
Wazee wetu wazaman walikua wanapiga tungi na misosi mizuri yenye nguvu na walidumu miaka mingi , wanalaumu pombe bure kumbe tatzo chakula .Mimi mzee wangu ana miaka 87 na ameanza kunywa pombe zaidi ya miaka 60 iliyopita vipi yeye ana mkataba na mtoa roho?
Mzee wangu mdogo ana 72 yrs,gongo,shimhwa na kila aina ya takataka za pombe anakunywa,pakti mbili za sigara kila siku,hajawahi kulazwa na hana magonjwa ya kudumu,maisha haya ni ya kuyaacha kama yalivyo,hayana mtaalamu,ni swala la mipaka tu pale ulipowekewa mpaka wako huwezi kuuvuka.The 109 years ww2 veteran alikuwa anavuta pakti kadhaa za sigara kila siku!! Na hakufa kwa kansa, Warren buffet is 94 years old na anakunywa 5 cans of coca cola daily, with junk foods hasa sweets and fried chickens.
Maisha ni bahati tu sio uhodari wala kanuni
Umri wa kuishi kwa wastani kwa wakazi wa hyo nchi unafahamu ni miaka mingapi mkuu?Nimesoma Ukraine, wanateseka sana na vifo vya magonjwa ya figo na moyo.
Kila mtu ana mwili wake, uwe makini tu na mitungi unywe kwa ustaarabu.Mzee wangu mdogo ana 72 yrs,gongo,shimhwa na kila aina ya takataka za pombe anakunywa,pakti mbili za sigara kila siku,hajawahi kulazwa na hana magonjwa ya kudumu,maisha haya ni ya kuyaacha kama yalivyo,hayana mtaalamu,ni swala la mipaka tu pale ulipowekewa mpaka wako huwezi kuuvuka.
Na wewe kunywa miaka 60....wapo wanaovuta sigara hata miaka 80....ila majority ya wavutaj hufa kwa sigari mfano katika walevi nasema walevi sio wanywaji ...professional walevi 10....... 8 watakufa kwa figo na maini kabla ya kufika miaka 75....... 2 wawili watafika na kuzidi wanatakufa kwa uzee......so ukiangalia number hizi ndo maana tunasema ukiwa mlevi ni hatari sanaMimi mzee wangu ana miaka 87 na ameanza kunywa pombe zaidi ya miaka 60 iliyopita vipi yeye ana mkataba
Sasa si ndio,wale walikula vyakula vya asili ambavyo ni kama dawa ya kuondoa sumu ya pombe mwilini na pia walifanya kazi za kutumia sukari mwingi kwenye damuWazee wetu wazaman walikua wanapiga tungi na misosi mizuri yenye nguvu na walidumi miaka mingi , wanalaumu pombe bure kumbe tatzo chakula .
Wanalewa kwa sababu ya hali ya hewa ya baridi kali. Wanafika miaka 70-80 haswa wale wenye nidhamu ya maisha.Umri wa kuishi kwa wastani kwa wakazi wa hyo nchi unafahamu ni miaka mingapi mkuu?
huenda ulikua hujaja mjiniKumbe ndio ilikua hivi?