Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pressure ya vikoba hii itaondoka na wengi sio utani.Humu Msijali kuhusu kufa kwa Figo..
Wengi kwa sababu ni majuha, mtakufa vifo vya aibu na kimaskini kama
Kipigo cha kufumaniwa, kula chakula chenye sumu msibani, Pressure ya Vikoba, kuzidisha Viagra, Magonjwa ya Zinaa na punyeto....
Ukifa kwa pombe labda ulewe ulanzi ulale nje fisi waje wakubebe....
Haina haja ya kufura, Badilika
Tunaitoa vipi wakati na yenyewe ni sehemu ya tatizoItoe pombe tafadhali 🙏
Umeandika nini mjusi weyeR. I .P CAPTAIN. Msalimie sana FM Kibonde.
In heaven there is no Beer, That why we drinking here. We you go from Here, Your friend we'll drink your Beer.🍺🍺🍺🍻
Ulevi unaanza na hulka ya kunywa kila siku bia moja halafu unaanza kuongeza.Unaposema ulevi unalenga mambo mengi sana sio pombe pekee, apo tatzo sio pombe tatzo ni ulevi ata ukiwa mlevi wa simu , mlevi wa wanawake/wanaume, mlevi wa soda , mlevi wa injili( makenzie kenya) vyote huleta shida , apo tatizo sio kunywa pombe tatzo ni tabia zako za tamaa ya pombe kupitiliza uwezo wako.
Stress zilimfanya akabugia pombe zikamzidi ata ukibugia mayai yakikuzidi ukafa,hatuwezi sema mayai ni mabaya tusiyale🤗Tunaitoa vipi wakati na yenyewe ni sehemu ya tatizo
Mkuu pombe haiwezi nifilisi hicho ni cha kwanza, pia naweza kuitawala pombe ambayo akinywa mtu mwingne anaweza kufa apo apo.Ulevi inaanza na bia moja tu. Ulevi ni addiction {uraibu}. Siku zote uraibu una sifa mbili.
Kwanza inakufilisi, pili inakuua. Jiwekee mipaka ya unywaji pombe vinginevyo itakuangamiza. Jizoeze kuitawala pombe imeangusha wengi sana.
Ana miaka 51 Captain kama sikosei. Alibakisha 9 years astaafu.Vijana wanapukutika tu........
NakaziaItoe pombe tafadhali 🙏
Ubishi wako umeficha anguko lako. Walikufa kwa pombe mawaziri wenye vyeo na heshima zao, mifano ni mingi mno.Mkuu pombe haiwezi nifilisi hicho ni cha kwanza, pia naweza kuitawala pombe ambayo akinywa mtu mwingne anaweza kufa apo apo.
Babu ,bibi mama baba na ndugu zangu wote tunapenda pombe 🙏
Tatizo hizi za viwandani, full chemicals, gongo natural, sasa mtu anasukumiza Kvant anashushia kwa chips za buku.
Hapo ukienda Muhimbili wanakwambia figo na ini vimeiva, weka viungo tu
Mzee wa kukojoza ameondoka mapema sanaPumzika kwa Amani
😁😁😁 mkuu kama wewe ilikudhuru na hata ikanidhuru mimi sababu sio pombe sababu ni ulafi . Hata ukiwa mlafi wa maugali mwisho wa siku unapata kisukari na pressure je ugali ni mbaya watu wasile?Ubishi wako umeficha anguko lako. Walikufa kwa pombe mawaziri wenye vyeo na heshima zao, mifano ni mingi mno.
Jide alikuwa mke wake aliyeishi nae miaka mingi wakaachana,ni kawaida mwanamke akiwa na maumivu kuongea sana,tofauti JD ana pa kuongelea.Jide,,,,,..akose cha kuimba sasa. Manake amemuimba sana kimafumbo
RIP Gardner
Em tuwekee la mwenye hepatitis mpenda papuchi bila kusahau weka na utumbo wa mla chipsi na masodaTukumbushane tu wale wazee wa gambe kali
Hili ni ini la mwanadamu
View attachment 2969149
Hili ni ini la mnywa pombe kali/mlevi
View attachment 2969151