Mwanaume si vyema kumtusi mke asiyekuhusu jamani, tuweni wastaarabu. By the way, huyo huyo ndo kamwingiza town hadi mkaanza kula naye bata.Hivi nyie mna tatizo gani hampendi kusikia habari nzuri ya Gadna?
Huyo sura ngumu si alisema yeye ndio anamtunza sasa anaishi maisha yake bado inawaumiza.. Gadna tuko nae batani daily ingekuwa bado yupo kwenye ndoa mngesema za yule uso mgumu ila sasa mnalialia tu.
Ujasema ni matumizi ya nini? Inawezekana ni matumizi ya kuzungusha pesa.
Gadna analipwa zaidi ya million 3 pale Clouds na anachukua commission ya matangazo ya Jahazi msimchukulie poa.
Tujitahidi kuwa wakweli jamani. "Taasisi nyingi" zipi hizo zinazolipa fresh from school 3m?Sishangai wewe kuishangaa million 3 kama mshahara.. Nakumbuka nilikuwa nafanya mradi mmoja wa wa Danish, basi ilikuwa wakija wabongo kunegotiate mshahara na wazungu mtu akitaja kiwango kikubwa basi ni mil 1 wengi laki 7 mpaka 8.. Kama wewe uhoni value yako hakuna atayekupa hiyo value. 3m ni salary ya kawaida sana kuna tahasisi nyingi tu hapa mjini wanalipa ata fresh from school jiongeze mkuu.
Wapi nimeandika laki 3 kwa siku? Hivi unajua kusoma kweli kakangu?
Mimi najua principles za kuearn wealth wewe.
1. Nikienda benki kukopa ni kwaajili ya kuendeleza investment ambayo tayari nimeshaifanyia research na kujua itaniingizia pea.
2. Sikopi hela benki ninunue gari. Natumia mkopo kufanyia biashara halafu profit ninayoipata ndiyo nanunulia ninachotamani.
3. Siamini kama kuendesha gari inamaanisha chochote. Hii ni tabia ya middle-income people ambao hupenda kufanana na matajiri.
4. Matumizi ya laki 1 kwa siku si tatizo as long as inatokana na hela itokanayo na investment yako mwenyewe. Lakini inakuwa tatizo pale matumizi yako yanatokana na eti mshahara wa kuajiriwa.
Hana huo mshahara. Mbona mnabisha vitu msivyokuwa na uhakika navyoKwahio unataka kusema mtu alieajiriwa hatakiwi kutumia 100,000/- per day? Regardless na salary yake?! Kwa maisha ya sasa 100,000 kwa siku sio nyingi iwe kwa muajiriwa au mfanyabiashara.
Statement yako ilikuwa too general 'inakuwa tatizo mwajiriwa akatumia 100,000' kumbe mwajiriwa huyo unamaanisha Gadner! Haya mimi mshahara wake siujui lakini mshahara sio source ya income pekee otherwise utuambie wewe unamjua sana na unajua hana source ingine ya income na mshahara wake unaujua.Hana huo mshahara. Mbona mnabisha vitu msivyokuwa na uhakika navyo
Unapata nini zikifika posts 300?!!Endeleeni kuchangia huu uzi wakuu hadi tufikishe comments 300
#HapaKuchangiaTu
Source yake nyingine ilikuwa Lady Jaydee. Kwa sasa ameshaachika kwa jaydee.Statement yako ilikuwa too general 'inakuwa tatizo mwajiriwa akatumia 100,000' kumbe mwajiriwa huyo unamaanisha Gadner! Haya mimi mshahara wake siujui lakini mshahara sio source ya income pekee otherwise utuambie wewe unamjua sana na unajua hana source ingine ya income na mshahara wake unaujua.
Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi, ambaye hivi karibuni amemkojoza yule moto wa kike,amejitapa kuwa matumizi yake kwa siku ni shilingi 100,000 wakati akimfanyia interview msanii wa Bongo Flavour Malaika.
My opinion: Laki 1 inaweza kuwa kubwa au kuwa ndogo kutegemeana na kipato chako. Lakini kwa kipato cha mtangazaji wa radio, inaleta ukakasi kidogo. Ama ni hivyo basi utangazaji unalipa sana siku hizi. Matumizi ya 3,000,000 kwa mwezi si jambo dogo ati.
Tusipende kujisifu
Pole zako.....utakuwa na tabia kama zake....
KESHO MWAMBIE ATANGAZE NA YULE ALIEMSHIKA MAT@K() KAMKOJOZAJE, hana aibu kabisa....Pole zako.....
Endeleeni kuchangia huu uzi wakuu hadi tufikishe comments 300