Gardner Habash: Natumia laki 1 kwa siku

Gardner Habash: Natumia laki 1 kwa siku

Hivi nyie mna tatizo gani hampendi kusikia habari nzuri ya Gadna?

Huyo sura ngumu si alisema yeye ndio anamtunza sasa anaishi maisha yake bado inawaumiza.. Gadna tuko nae batani daily ingekuwa bado yupo kwenye ndoa mngesema za yule uso mgumu ila sasa mnalialia tu.
Mwanaume si vyema kumtusi mke asiyekuhusu jamani, tuweni wastaarabu. By the way, huyo huyo ndo kamwingiza town hadi mkaanza kula naye bata.
 
Ujasema ni matumizi ya nini? Inawezekana ni matumizi ya kuzungusha pesa.

Gadna analipwa zaidi ya million 3 pale Clouds na anachukua commission ya matangazo ya Jahazi msimchukulie poa.

Hawezi kulipwa million 3 acha utani na maisha ungenambia mbili ningeweza kujuelewa
 
Sishangai wewe kuishangaa million 3 kama mshahara.. Nakumbuka nilikuwa nafanya mradi mmoja wa wa Danish, basi ilikuwa wakija wabongo kunegotiate mshahara na wazungu mtu akitaja kiwango kikubwa basi ni mil 1 wengi laki 7 mpaka 8.. Kama wewe uhoni value yako hakuna atayekupa hiyo value. 3m ni salary ya kawaida sana kuna tahasisi nyingi tu hapa mjini wanalipa ata fresh from school jiongeze mkuu.
Tujitahidi kuwa wakweli jamani. "Taasisi nyingi" zipi hizo zinazolipa fresh from school 3m?
 
Ktk diary ya Lady Jaydee alipokuwa anapanda mlima walipiria home kwa wakwe, kuna mzee mmoja wa jirani alionekana akimuonyesha sehemu likipokuwa kaburi la babake mkondo wa maji umepita na kufagia kila kitu udongo na mawe, mzee alimsisitiza kulijengea kaburi lile. Sasa siabane matumizi akajengee kaburi ili mifupa isifukuliwe na kupelekwa na maji?
 
Mimi najua principles za kuearn wealth wewe.

1. Nikienda benki kukopa ni kwaajili ya kuendeleza investment ambayo tayari nimeshaifanyia research na kujua itaniingizia pea.
2. Sikopi hela benki ninunue gari. Natumia mkopo kufanyia biashara halafu profit ninayoipata ndiyo nanunulia ninachotamani.
3. Siamini kama kuendesha gari inamaanisha chochote. Hii ni tabia ya middle-income people ambao hupenda kufanana na matajiri.
4. Matumizi ya laki 1 kwa siku si tatizo as long as inatokana na hela itokanayo na investment yako mwenyewe. Lakini inakuwa tatizo pale matumizi yako yanatokana na eti mshahara wa kuajiriwa.

Kwahio unataka kusema mtu alieajiriwa hatakiwi kutumia 100,000/- per day? Regardless na salary yake?! Kwa maisha ya sasa 100,000 kwa siku sio nyingi iwe kwa muajiriwa au mfanyabiashara.
 
Kwahio unataka kusema mtu alieajiriwa hatakiwi kutumia 100,000/- per day? Regardless na salary yake?! Kwa maisha ya sasa 100,000 kwa siku sio nyingi iwe kwa muajiriwa au mfanyabiashara.
Hana huo mshahara. Mbona mnabisha vitu msivyokuwa na uhakika navyo
 
Wakati akiwa na mkojozwaji sawa, ila yeye hawezi kuwa na huo ubavu.
 
Endeleeni kuchangia huu uzi wakuu hadi tufikishe comments 300
#HapaKuchangiaTu
 
Hana huo mshahara. Mbona mnabisha vitu msivyokuwa na uhakika navyo
Statement yako ilikuwa too general 'inakuwa tatizo mwajiriwa akatumia 100,000' kumbe mwajiriwa huyo unamaanisha Gadner! Haya mimi mshahara wake siujui lakini mshahara sio source ya income pekee otherwise utuambie wewe unamjua sana na unajua hana source ingine ya income na mshahara wake unaujua.
 
Statement yako ilikuwa too general 'inakuwa tatizo mwajiriwa akatumia 100,000' kumbe mwajiriwa huyo unamaanisha Gadner! Haya mimi mshahara wake siujui lakini mshahara sio source ya income pekee otherwise utuambie wewe unamjua sana na unajua hana source ingine ya income na mshahara wake unaujua.
Source yake nyingine ilikuwa Lady Jaydee. Kwa sasa ameshaachika kwa jaydee.
 
E="RRONDO, post: 16210832, member: 20710"]Unapata nini zikifika posts 300?!![/QUOTE]
Basi tu
 
Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi, ambaye hivi karibuni amemkojoza yule moto wa kike,amejitapa kuwa matumizi yake kwa siku ni shilingi 100,000 wakati akimfanyia interview msanii wa Bongo Flavour Malaika.

My opinion: Laki 1 inaweza kuwa kubwa au kuwa ndogo kutegemeana na kipato chako. Lakini kwa kipato cha mtangazaji wa radio, inaleta ukakasi kidogo. Ama ni hivyo basi utangazaji unalipa sana siku hizi. Matumizi ya 3,000,000 kwa mwezi si jambo dogo ati.

Inatusaidia nini sisi watz wengine? Hii yote ni kushindana na Jide, ila ukweli utabaki kuwa ukweli, Jide ndo kiboko yake huyu kuzi...! Akisikia "ndi ndi ndi" anabanwa na haja kubwa ghafla!!



Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Endeleeni kuchangia huu uzi wakuu hadi tufikishe comments 300
 
Nlchogundua kna raia kwny hii mitandao ya kijamii wamekua anti-gardner hta km ktu haktak kubshwa,g alkua kwny kpnd ambacho n entertainment, anaweza akasema kua kla wkend lazma aende sauz jwhether yrue au false ila aim n ku entertain...
Sasa hawa anti-garner wanadhan wakidiss sana maybe jide atawalipa au ndo wataonekana wapo ryt...
Km kukosea wate walkosea kwa njia moja au nyngne..,
all n all mshahara wa g...kpato cha jide...kukojozana kwao hamna anaejua zaid ya wao...
Wengne tutabak kua followers/fans na mikelele miiingi ya kihopeless...
 
Back
Top Bottom