Ujasema ni matumizi ya nini? Inawezekana ni matumizi ya kuzungusha pesa.
Gadna analipwa zaidi ya million 3 pale Clouds na anachukua commission ya matangazo ya Jahazi msimchukulie poa.
Endeleeni kuchangia huu uzi wakuu hadi tufikishe comments 300
Ujasema ni matumizi ya nini? Inawezekana ni matumizi ya kuzungusha pesa.
Gadna analipwa zaidi ya million 3 pale Clouds na anachukua commission ya matangazo ya Jahazi msimchukulie poa.
Hako ka hela kiduchu sana tena kwa mtu kama celeb.
Mikojozo dot com
Hivi laki si pesa bado yumo JF?Maisha flani ya Dar es salaam laki si pesa
Hivi laki si pesa bado yumo JF?
i bett wewe ndo Ephraim kibonde.Tafuta exposure dogo uwezi kuipata huko Kariakoo.. Mshahara wa milioni 3 unaona mwingi?
Mimi niliipwa huo nikiwa junior position kipindi hicho.
Duh! Huyu mwisho wa siku atajiita "Kojoza Kojo"!Yumo sema anatumia ID nyingine anaitwa Toboa Tobo.