cc12
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 1,018
- 396
Ujasema ni matumizi ya nini? Inawezekana ni matumizi ya kuzungusha pesa.
Gadna analipwa zaidi ya million 3 pale Clouds na anachukua commission ya matangazo ya Jahazi msimchukulie poa.
Million 3 SMH hata Millard Ayo hajafika hicho kiwango clouds pale mishahara ya kawaida tu hakuna aliyefikisha million tatu