Gardner Habash: Natumia laki 1 kwa siku

Sawa TE="kabanga, post: 16188295, member: 63346"]Sawa kabisa
Sawa nini sasa?[/QUOTE]
wewe umekurupuka kwenye hii taarifa yako. ulitakiwa udadavue kwa kina, je inatumika katika uzalishaji ama inatumika kama faida iliyo zalishwa.
 
Wewe ndiyo ujifunze kuelewa mada. Issue ni Gardner kutumia 3000000 kwa mwezi wakati Clouds hawana scale ya mshahara huo. Lakini wewe unakuja kututajia mahahara wako uliowahi kulipwa. Uhusiano uko wapi sasa?
wewe ndio uelewi na hujui kama uelewi. kama unaelewa elezea viwango vya mshahara vya clouds ili ujulikane una data za kutosha usitafute umaharufu kupitia gadner au jide au jf
 
Ujasema ni matumizi ya nini? Inawezekana ni matumizi ya kuzungusha pesa.

Gadna analipwa zaidi ya million 3 pale Clouds na anachukua commission ya matangazo ya Jahazi msimchukulie poa.
Weka salali slip hapa.hakuna mtangazaji klaus anaepewa iyo ela.
 
Gadna hana mipango mingine yoyote zaidi ya kutangaza. Asingefukuzwa na mwanamke. Sanasana kilichomleta Clouds ni baada ya kuona show za fiesta karibu zinaanza ili apate vihela vya kumalizia banda lake
Itakua una wivu wewe sio bure
Unaweza kusema unamjua huyu jamaa kuliko anavyojijua mwenyewe
 
Hivi tumekosa kabisa mambo ya maana ya kujadili katika nchi hii ila Gadner na ka laki kake kamoja?
 
Gadna hana mipango mingine yoyote zaidi ya kutangaza. Asingefukuzwa na mwanamke. Sanasana kilichomleta Clouds ni baada ya kuona show za fiesta karibu zinaanza ili apate vihela vya kumalizia banda lake
Mbona kauli zako ni mkanganyiko wa kutosha na zina kinzana, kuna uzi ulianzishwa na mdau jana ukihusisha jide kumshtaki Gadner kwa udhalilishaji alioufanya, katika ule uzi umeonekana ukimtete Gadner, wakati hapa umefungua uzi kumkejeli na matumizi yake ya laki per day which is which ama ni mizuka tu ya hapa JF
 
Mimi nafocus on issues siyo mtu. Lakini kwasababu ni mtu ndiye aliyefanya issue, ni lazima nitaje jina. Sasa huoni kama hizi ni ISSUE mbili tofauti?

Issue 1: Kutaka kushtakiwa kwa kesi inayoonekana kutokuwa na ushahidi wa kutosha
Issue 2: Kujisifu kuwa una matumizi makubwa kuliko kipato chako.

Naomba nikushauri kujenga tabia ya kujisomea vitabu na kusikiliza vipindi mbalimbali vya elimu vya redio na TV ili ikusaidie kujenga hoja na kutofautisha mambo.
 


Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Kwa nini hao maskini wasijitafutie wenyewe.

Mtu kusaidia maskini ni hiari wala si lazima
 
Kweli wanaume wa Dar wote wanafaa kuajiriwa na Shigongo
 
Kwa mkataba aliopewa hivi karibuni na clouds...gadner anapokea takribani milioni 5 na zaidi kwa mwezi ukichanganya na commission za matangazo..alisema anaebisha ajitokeze...Laki sio hela nyingi kihivyo kwa maisha ya siku hizi hasa kwa mwanaume...najua kwa mwanamke hata angepokea mil 20 hawezi tumia laki..unakuta bado anaomba bwana wake amnunulie vocha..wabahili kama nini..!
 
Kwa mkataba aliopewa hivi karibuni na clouds...gadner anapokea takribani milioni 5 na zaidi kwa mwezi ukichanganya na commission za matangazo..alisema anaebisha ajitokeze...Laki sio hela nyingi kihivyo kwa maisha ya siku hizi...ni umasikini tu
Hamna kitu kama hicho. Million 5 unaijua unaisikia?
 
Naiwe kweli au uongo yanini kujinadi? watu walio ingia jando hospitali utawajua tu hawana maadili hata ktk utu uzima wao,lakini mbona katika miaka yote 15 akiwa na jide hakuwa na kauli za kufyatuka kama hizi kime msibu nini hadi ana rudi utoto? kama ni maumivu hayatoki hivyo huko ni kujidhalilisha tu,dah! aibu.
 
Cheapest way of reasoning,YOU WHAT? wewe ushauri wako wa kijinga peleka kule, hizo radio, tv kama ndiyo vinampa mtu akili aisehh basi havijakusaidia zaidi ya kukuongezia degree ya umbeya, kuna vitu mtu vinaweza kukudsaidia ama kukuharibu ila naona wewe vimebomoa hiyo akili, nawasiwasi na elimu yako na kama elimu yako ndiyo ulipata kwenye radio na tv hahaha aisehhh badi vimekupa akili ya kuwa mbeya basi sawa, kwa hiyo radio na tv ndiyo vina kupa msimamo kwenye nini yani kwa mfano, kwenye kujenga hoja?teh teh teh nilikuwa sijuwi kuna watu wa aina yako, Kuna hoja hapa sasa ama unafki na umbeya mara Oh GADNER kaka yangu usikubali sijuwi nini mara huyu GADNER hana hela mshahara wenyewe yani jide ndiyo alikuwa anamueka mjini aisehhh ina kera kuna vijana siku hizi kazi yenu ni umbeya tu, nini unakitafuta kwa huyu Gadner kwa mfano? Una creat attention eh akujuwe unamfuatilia, wadau kibao hapa wameona wewe ni mbeya kujifanya unamjua sana Gadner kwa kumsimanga, unajuwa kuchunguza maisha ya watu sana wakati yako yamekushinda umbeya wa namna hii utakuponza naona una mhemko kupata kick jf.... Kazana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…