Gardner: Jide kitu gani bana!, huyu ndiye mwendokasi wangu kwa sasa

Ha hahahah sasa ulitaka afanyweje???? Wakati sheria haumrusu kufunga ndoa ingine.


Sheria ya dini

Basi atamuoa kwa sheria aliyomuolea jide,maana kabla ya kumuoa jide alikua ameshaoa na kuacha.
 
Huyu sijui mchagha wa wapi huyu[emoji16] ,wenzake wanapambana kutafuta pesa yeye huku anashindana na mtalaka wake kwamba bado yupo kwenye kiwango cha kung'oa atakae.utoto huo!!!
 
wafate wazee wakanisa na makasisi wanamajibu mimi sina majibu
Hata hao watajibu kwa vifungu vya Biblia Takatifu ambavyo vinatambua uwepo na kuruhusu utoaji waTALAKA!.
..... Jesus pointed out that these laws were given because of the hardness of people’s hearts, not because such laws were God’s desire (Matthew 19:8).....
 
Vipaja vyeusiii kavi display kama tangazo la .......!
Hapa ndo ninaposhangaa waafrica wenzangu, so unataka apake carolite au anywe maji mengi, kama bro wako wa bongo movie [emoji84]
 
Ifike mahali Gardner ajiheshimu ana binti mkubwa mambo yake yanaweza kumuathiri mtoto wake kisaikolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…