Gardner: Jide kitu gani bana!, huyu ndiye mwendokasi wangu kwa sasa

View attachment 355160

Miezi michache baada ya wanandoa Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ na Gardner Gabriel Fikirini Habash kutalikiana kwenye Mahakama ya Mwanzo Manzese Sinza jijini Dar, mwanaume huyo amemuanika ‘mtu wake’ wa sasa a.ka. ‘mwendokasi’ akisema ndiye mrithi wa mikoba ya mwimbaji huyo nyota wa Muziki wa Kizazi Kipya.

Katika Viwanja vya Escape One, Kawe, jijini Dar es Salaam Jumamosi iliyopita, ambako mwimbaji mahiri wa Muziki wa Dansi Bongo, Christian Bella alikuwa akifanya shoo ya kutimiza miaka 10 katika ‘game’, Gardner alionekana na mrembo huyo akizunguka naye kimahaba kutoka eneo moja kwenda lingine huku wadau wake wakihoji ni nani!

Garder alipohojiwa na mwandishi wa habari hizi alikiri kuwa ni kweli kwa sasa anamiliki kifaa kipya kinachokwenda kwa jina la Vestina.

“Yes! Ndiye huyo kaka. Huyo ndiye mtu wangu kwa sasa na kama nilivyowahi kukudokeza, nimekuwa naye kwa muda mrefu kidogo, lakini sikuweza kumwanika mapema kwa sababu zinazoeleweka au ninazozijua mwenyewe,” alisema Gardner.

Mwandishi: “Vipi kuhusu Jide sasa, ndiyo n’tolee moja kwa moja kwa sababu ya talaka?”

Gardner: “Jide kitu gani bwana? Huyo ndo’ mwendokasi wangu kwa sasa.”
Gardner alimtaja binti huyo aliyekataa kusema umri wake kuwa anaitwa Vestina Jax, mkazi wa jijini Dar es Salaam.

Mwandishi wa habari hizi alilitaka kufahamu kama kuna mipango yoyote ya kufunga ndoa katika siku za karibuni baina yake na mrembo huyo, lakini Gardner alikataa kusema lolote juu ya hilo.

“Duu! Acha basi kaka! Kwa hilo sina comment,” alisema mtangazaji huyo ingawa habari za ndani zaidi zinasema kuwa, mrembo huyo ndiye mkewe mratajiwa.

Source: Bongo Movie
dogo mbea sijui huwa hulali wewe
 
NIDO yake ni kama keshashusha halafu anaonekana amebobea kwenye viambaza
 
Haka ka vestina katakuwa kahaya haka kapo kimaslahi zaidi kweli huyo gadner ni wa kumruhusu akushike kiuno hivyo afu mzunguke nae watu wawaone kwa jinsi alivyo mchafu
 
Aisee ningemjua baba yake ningemshauri akafanye DNA test labda kuna msambaa alimpiga bao.
niko arusha hapa wachagga wengi wamechoka wachafuu wanakunywa gongo tu na mataputapu mengine hawana hata mia
 
Rebound shit..binti ajipange G atammwaga tu,..
 
View attachment 355160

Miezi michache baada ya wanandoa Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ na Gardner Gabriel Fikirini Habash kutalikiana kwenye Mahakama ya Mwanzo Manzese Sinza jijini Dar, mwanaume huyo amemuanika ‘mtu wake’ wa sasa a.ka. ‘mwendokasi’ akisema ndiye mrithi wa mikoba ya mwimbaji huyo nyota wa Muziki wa Kizazi Kipya.

Katika Viwanja vya Escape One, Kawe, jijini Dar es Salaam Jumamosi iliyopita, ambako mwimbaji mahiri wa Muziki wa Dansi Bongo, Christian Bella alikuwa akifanya shoo ya kutimiza miaka 10 katika ‘game’, Gardner alionekana na mrembo huyo akizunguka naye kimahaba kutoka eneo moja kwenda lingine huku wadau wake wakihoji ni nani!

Garder alipohojiwa na mwandishi wa habari hizi alikiri kuwa ni kweli kwa sasa anamiliki kifaa kipya kinachokwenda kwa jina la Vestina.

“Yes! Ndiye huyo kaka. Huyo ndiye mtu wangu kwa sasa na kama nilivyowahi kukudokeza, nimekuwa naye kwa muda mrefu kidogo, lakini sikuweza kumwanika mapema kwa sababu zinazoeleweka au ninazozijua mwenyewe,” alisema Gardner.

Mwandishi: “Vipi kuhusu Jide sasa, ndiyo n’tolee moja kwa moja kwa sababu ya talaka?”

Gardner: “Jide kitu gani bwana? Huyo ndo’ mwendokasi wangu kwa sasa.”

Gardner alimtaja binti huyo aliyekataa kusema umri wake kuwa anaitwa Vestina Jax, mkazi wa jijini Dar es Salaam.

Mwandishi wa habari hizi alilitaka kufahamu kama kuna mipango yoyote ya kufunga ndoa katika siku za karibuni baina yake na mrembo huyo, lakini Gardner alikataa kusema lolote juu ya hilo.

“Duu! Acha basi kaka! Kwa hilo sina comment,” alisema mtangazaji huyo ingawa habari za ndani zaidi zinasema kuwa, mrembo huyo ndiye mkewe mratajiwa.

Source: Bongo Movie
ahaa
 
Wakati mwingine atatumia nguvu nyingi aolewe ,mwisho anaondoka mwenyewe kwa machungu.
 
Analiaje wakati yeye ndo alitoa talaka?
We huwa unanikeraaa na uongoo wakoo..eti Hide ndoo alitoaa TALAKA mamboo mengine muulizagheeeee!!!Mahakama manzese ilitoaa TALAKA kisa Mwanaume alimkinai mwanamkee na ubabe wake akaanza kutotulia ndani mwanamkee kambembeleza ili kumaintain The best Couple in Town. Jamaa Upendo ile Wa kuibia akawa hana tena.....akiangalia Miendoo Kasi inawaka..Akawa hayupoo nayee kirohoo Bali kimwili..ndoo Ni shostitooo akatimkia Nje kutoa Stress Mara a post napitia magumu Mara ivi..ivi anayeacha anakosaga Raha..Mara Naamka Tena kwani Alilala. Yoote yalimkuta Baada ya mtingishiko Wa Le Super Mwendokasi..Upo babu???
 
Nasikia wanoko wanadai umri wa binti wa Gardner umemzidi wa Jide
 
Back
Top Bottom