Gardner: Jide kitu gani bana!, huyu ndiye mwendokasi wangu kwa sasa

Kwanza kabisa mimi sio babu, pili nikuulize ww Kati ya anayeacha na anayeachwa nani huwa anayumba zaidi? Sasa ukiangalia Jide wa gardner na jide wa ndi ndi ndi utofauti utauona na pia ukiangalia Gardener wa jide na Gardener wa ndi ndi ndi utofauti utauona pia , Ila ukweli unauma kuambiwa mwanaume mwenzio aliopewa talaka[emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] #ze ndi ndi ndi[emoji133]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…