Ukimpata fundi mzuri mwaminifu anayejua kazi yake atalikagua na report atakupatia na wewe mwenyewe if una uzoefu wa magari ukiliendesha kwa umbali kidogo utahisi tu if lina tatizo au halina, na ukihojiana na mmiliki kuna vitu ukimhoji kiujanja utajua kama amekuwa akilifanyia service vizuri au la!Hali ya engine unaijuaje mkuu?
Mkuu naendelea kujiamini zaidi niendeshapo haka kagari kangu carina ti
Bado ninalo Mkuu kama unahitaji nichek Inbox haina shida nitakutumia picha na kila kitu Ila sijui upo mkoa gani Ila kama upo DAR itakuwa Bora zaidi maana kama unahitaji gari njoo na fundi wako akague na kabla ya kufanya biashara nitakupa utesti Kwa siku nzima uende nalo kokote na kurudi nalo.Naomba tuongee biashara uniuzie kama bado unayo.
Bado ninalo Mkuu kama unahitaji nichek Inbox haina shida nitakutumia picha na kila kitu Ila sijui upo mkoa gani Ila kama upo DAR itakuwa Bora zaidi maana kama unahitaji gari njoo na fundi wako akague na kabla ya kufanya biashara nitakupa utesti Kwa siku nzima uende nalo kokote na kurudi nalo...
Nataka kubadisha gari Mkuu
Hapana boss Mimi ni mjasiriamali Tu wa KariakooNipo Dar mkuu, nitakucheki. Halafu wewe ni software programmer ama nimekufananisha?
Hayo yote si magari ni Baby toys
Nipo Dar mkuu, nitakucheki. Halafu wewe ni software programmer ama nimekufananisha?
carina SI kwa uber ni maumivuKuna Carina SI nyekundu imenyooka sana Namba DQR rangi ya Maroon...Ukishindwana na mzee wa TI njoo PM nikupe namba ya jamaa .