Gari aina FunCargo unaweza kuilinganisha na Toyota IST au Raum?

Gari aina FunCargo unaweza kuilinganisha na Toyota IST au Raum?

Kama ishu ni Uber tu, chukua IST 1.3L. Ule mlango wa Raum fungua-funga za abiria watauharibu tu.

IST ni reliable hafu compact kwa hiyo kazi itafaa zaidi. If possible chukua ya rangi nyeupe. White ni cheaper kupaka incase ikiharibika na ni safe color. Pia Dar joto, white color itasaidia abiria wako wawe more comfortable ata kwa AC minimum.
 
Ngoja nipite zangu waendesha v baby walker uwanja ni wenu
 
Hali ya engine unaijuaje mkuu?
Ukimpata fundi mzuri mwaminifu anayejua kazi yake atalikagua na report atakupatia na wewe mwenyewe if una uzoefu wa magari ukiliendesha kwa umbali kidogo utahisi tu if lina tatizo au halina, na ukihojiana na mmiliki kuna vitu ukimhoji kiujanja utajua kama amekuwa akilifanyia service vizuri au la!
 
Naomba tuongee biashara uniuzie kama bado unayo.
Bado ninalo Mkuu kama unahitaji nichek Inbox haina shida nitakutumia picha na kila kitu Ila sijui upo mkoa gani Ila kama upo DAR itakuwa Bora zaidi maana kama unahitaji gari njoo na fundi wako akague na kabla ya kufanya biashara nitakupa utesti Kwa siku nzima uende nalo kokote na kurudi nalo.

Nataka kubadisha gari Mkuu
 
Bado ninalo Mkuu kama unahitaji nichek Inbox haina shida nitakutumia picha na kila kitu Ila sijui upo mkoa gani Ila kama upo DAR itakuwa Bora zaidi maana kama unahitaji gari njoo na fundi wako akague na kabla ya kufanya biashara nitakupa utesti Kwa siku nzima uende nalo kokote na kurudi nalo...
Nataka kubadisha gari Mkuu

Nipo Dar mkuu, nitakucheki. Halafu wewe ni software programmer ama nimekufananisha?
 
Hayo yote si magari ni Baby toys

Ndio maana anataka gari ya kazi ya Uber na sio gari ya kufunga nayo mkataba, binafsi katiya gari hizo Raum inabaki kuwa chaguo kwani fuel consuption yake ni ndogo, vipuli vyake ni vingi (Corolla) used na genuine pia na mafundi wake wapo wengi mtaani, service cost yake nayo ipo chini
 
Kuna Carina SI nyekundu imenyooka sana Namba DQR rangi ya Maroon...Ukishindwana na mzee wa TI njoo PM nikupe namba ya jamaa .
Nipo Dar mkuu, nitakucheki. Halafu wewe ni software programmer ama nimekufananisha?
 
Back
Top Bottom