Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Kama ishu ni Uber tu, chukua IST 1.3L. Ule mlango wa Raum fungua-funga za abiria watauharibu tu.
IST ni reliable hafu compact kwa hiyo kazi itafaa zaidi. If possible chukua ya rangi nyeupe. White ni cheaper kupaka incase ikiharibika na ni safe color. Pia Dar joto, white color itasaidia abiria wako wawe more comfortable ata kwa AC minimum.