Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Showroom au kuagiza Kwa bei ganiKama 85Mil ndio bei ya kuhama nchi je ingekua hahami bei ya kawaida ni kiasi gani??
Hivi mnaulizaga kweli bei za soko (showrooms au kuagiza) kabla kutangaza bei zenu humu??
Bei sio mbaya. Sema sijapenda shape yake. Halina mvuto. Baya.
Ukiwa mkata ufuta huku duniani unaona watu wanachezea hela hasa zikiwa nyingi kumbe kuna mtu hiyo 85 anatoa kama wewe unavonunua chapati kwa mwajuma mtaani kwako au mihogo...tutafute helaMilion 85 si bora uninyonge basi...daah umasikini mbaya sana.
#MaendeleoHayanaChama
Kijana wa hovyo hovyo njoo uone BMW ambayo mnaweza weka ligi na land Cruiser 200 series! Sio ule uchafu wa X5 aliokuwa anazungumzia yule boya kule.BMW x5 fully loaded expat leaving
Description:
2014 model BMW X5 auto
Mileage: 26k
Engine: 2.0 diesel
Unregistered
Location: Masaki
Fully loaded with keyless entry and start
Electric tow bar
All duties taxes paid
Price: 85m
Contact: 0767579770
View attachment 2000535View attachment 2000536View attachment 2000537View attachment 2000538
View attachment 2000534
Mambo kama haya utayakuta ushuani kwetu 😁😁😁 sema hiyo ni ya diesel, ingekuwa petrol ni tamu zaidiKijana wa hovyo hovyo njoo uone BMW ambayo mnaweza weka ligi na land Cruiser 200 series! Sio ule uchafu wa X5 aliokuwa anazungumzia yule boya kule.