Car4Sale Gari aina ya BMW X5 inauzwa

Car4Sale Gari aina ya BMW X5 inauzwa

BMW x5 fully loaded expat leaving

Description:
2014 model BMW X5 auto
Mileage: 26k
Engine: 2.0 diesel

Unregistered
Location: Masaki

Fully loaded with keyless entry and start
Electric tow bar
All duties taxes paid

Price: 85m
Contact: 0767579770

View attachment 2000535View attachment 2000536View attachment 2000537View attachment 2000538

View attachment 2000534
Hii gari haiuzwi kwa bei hiyo. Hakuna atakaye onyesha interest. Online utapata kwa total 60 mil pamoja na kodi na ushuru
 
Hiyo ni new model bei yake imechanganya yuko sawa
Siyo latest model. Hii ni 3rd generation BMW X5 aka F15. Latest model ni G05 na inaanzia 2018 na kuendelea. Hi haiwezi kuwa LCi ambayo ni toleo la mwisho kabla ya next generation
 
Tuache utani BMW X5 ni munyama sana...cheki sura ya Jaguar hiyo designer hapa alifanya kazi kubwa sana..na hii siyo sura tu mwendo hapo hakuna cha subaru sijui kilimo kwanza wala nani mtu wanaeweza kufanya ligi saizi yake ni Landcruiser V8 au Porche Cayenne v8
Screenshot_20211212-191112_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom