Car4Sale Gari aina ya BMW X5 inauzwa

Car4Sale Gari aina ya BMW X5 inauzwa

hiyo gari showroom zote morocco ni 29-30M
Bei ya gari kama hiyo kwa Japan ni around $35,000 mpaka $40,000 na kuendelea... Hapo ninechukulia haijashushwa Km.

Hapo TRA hawajakupiga nyundo ya utosi.

Hiyo ni F15 siyo E70, au E53 unazoziona humu barabarani.

Hiyo bei ni fair sana.
 
Kuna mzee jirani hapa ana X5 hua nacheka kimoyo moyo nikipita na mama mtoto anaponiambia "Mi nataka gari la juu kama hilo sitaki hizi kama taxi" nacheka kwakua najua mipango siyo matumizi
 
Kama 85Mil ndio bei ya kuhama nchi je ingekua hahami bei ya kawaida ni kiasi gani?

Hivi mnaulizaga kweli bei za soko (showrooms au kuagiza) kabla kutangaza bei zenu humu?

Ukiangalia vizuri hiyo gari imepakwa rangi upya!!! Rangi yake sio original. Says a lot!!!
 
Labda M competition ndio ligi za Cayene
Kaifanyie utafiti Cayenne imo kwenye top 5 ya Fastest SUVs katika kipindi cha toleo la hizi bmw x5 uelewe Cayenne S version turbo charged Landcruiser VX anaweza asione ndani...we kitu kinatema horse power mpaka 400 na unaleta mchezo we fananisha horsepower ya cayenne na landcruiser mbali na mbali sana kanatoka kama mshale kale
 
Back
Top Bottom