JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Kijana wa hovyo hovyo njoo uone BMW ambayo mnaweza weka ligi na land Cruiser 200 series! Sio ule uchafu wa X5 aliokuwa anazungumzia yule boya kule.
Bei ya gari kama hiyo kwa Japan ni around $35,000 mpaka $40,000 na kuendelea... Hapo ninechukulia haijashushwa Km.hiyo gari showroom zote morocco ni 29-30M
Anadhani hiyo ni E70 au E53Acha ujinga wewe umeangalia hiyo model ya mwaka gani?
Tuache utani BMW X5 ni munyama sana...cheki sura ya Jaguar hiyo designer hapa alifanya kazi kubwa sana..na hii siyo sura tu mwendo hapo hakuna cha subaru sijui kilimo kwanza wala nani mtu wanaeweza kufanya ligi saizi yake ni Landcruiser V8 au Porche Cayenne v8
View attachment 2041656
hapana.Acha ujinga wewe umeangalia hiyo model ya mwaka gani?
Ikiletwa X5 ya petrol mnakuwa wapole.Yale ya kiboya yamekaa kizembe sana yani kama matenki.
Na penyewe hio 2014 BMW ni 2.0L diesel in 231HP wakati 1VD-FTV V8 twin Turbo ana 268HP still lazma abow down kwa mwamba VX-R!
Yenyewe hio kifua kidogo hahahah 231HP bado sana kumkuta Twin Turbo V8 wa 268HP
Amna kitu kama hicho mzee sababu pia kuna umeme wa 381HP wa 5.7L V8Ikiletwa X5 ya petrol mnakuwa wapole.
Hapa atleast apples with applesHapa watu wakiweka league ndio unaridhika eh?
Hapa atleast apples with apples
Nyanya na apple tena😅 huwezi compare BMW ya M Competition na Land Cruiser mzee!I dont see a problem kama nyanya inaweza kwenda ligi moja na apple.
Mnunulie, huyo mzee wa jirani atajitwaliaKuna mzee jirani hapa ana X5 hua nacheka kimoyo moyo nikipita na mama mtoto anaponiambia *Mi nataka gari la juu kama hilo sitaki hisi kama taxi" nacheka kwakua najua mipango siyo matumizi
Amna kitu kama hicho mzee sababu pia kuna umeme wa 381HP wa 5.7L V8
Kama 85Mil ndio bei ya kuhama nchi je ingekua hahami bei ya kawaida ni kiasi gani?
Hivi mnaulizaga kweli bei za soko (showrooms au kuagiza) kabla kutangaza bei zenu humu?
Kaifanyie utafiti Cayenne imo kwenye top 5 ya Fastest SUVs katika kipindi cha toleo la hizi bmw x5 uelewe Cayenne S version turbo charged Landcruiser VX anaweza asione ndani...we kitu kinatema horse power mpaka 400 na unaleta mchezo we fananisha horsepower ya cayenne na landcruiser mbali na mbali sana kanatoka kama mshale kaleLabda M competition ndio ligi za Cayene