Gari aina ya Cresta Gx 100

Niliwahi kutumia Toyota Mark 2 GX 81 yenye Engine ya 1G kavu na 6cylinders,nafahamu balaa lake,ila sio gari la kukaa nalo kwenye mafoleni,inahitaji safari ndefu ndio utalifurahia...
Hahahahah halafu kali yake liwe manual shifter sasa! Vijana wa kishua walitusumbua sana miaka ile 1996 to early 2K’s
 
Ni mazoea mabaya tu. Siku hizi najitahidi nisivuke 140kph ila ni ngumu sana.
Siku hizi natembea na mtu anapenda mbio, ananijazaga upepo tunachezea 180-240. Majuzi almanusura viumane uso kwa uso na scania.. Mungu maana nilikuwa kinati kama 200 hivi .. ghafla kuna diversion mbele ninapotakiwa kutokea kuna scani na ni vumbi ya kufa mtu, kushoto wame block barabara .. nilifanya maamuzi magumu, nikasema acha niitupe gari kushoto huko uku nanyunyiza mdogo mdogo ngoma waaa imelala ikaja kukaa kama hakuna kilichotokea alikaa kimyaaa na mie nikauchuma kama dk nasikilizia tumetoka salama
 
Utakuja kufa mzeeπŸ˜… acha hizo mbanga! Dalili mbaya hizo πŸ˜…
 
Wale Wajerumani weusi utasikia wakisema 'hapa ingekuwa Toyota tushakufa'
 
Wale Wajerumani weusi utasikia wakisema 'hapa ingekuwa Toyota tushakufa'
Sijui mie mwenyewe kwanza nimechomokaje pale, nilipo ipeleka ni pabaya zaidi na lengo lilikuwa kuitupa kule isikutane uso kwa uso na ile scania, nachokumbuka gari haikutulia barabarani na nikashangaa imesimama πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. wajerumani weusi wanao wao ni bora kuliko wajapan
 
Kwani hio ilikuwa mjapan au mjerumani?
 
huyu alikuwa ni Adolf hitler
You see...angekuwa Yamamoto sasa hizi tusingekuwa na hii discussion! Ijumaa na mimi nikatoboa sump! Nimeingia kwenye handaki nikasikia chuma kidunda chini. Jana asubuhi naenda job narudi reverse nitoke naona kuna kisima cha crude oil chini nikajua lile shimo limejibu. Ila nimerekebisha kesho inarudi barabarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…