Gari aina ya Forester

Gari aina ya Forester

Mleta mada hajazungumzia swala la bei hata hivyo nakutajia SUV'S
1. Honda CR-V
2. Mazda CX-5
3. Mitsubishi Outlander
4. KIA
5.Hyundai Tucson
6......
Hapo Vipi?

Mleta mada hajazungumzia swala la bei hata hivyo nakutajia SUV'S
1. Honda CR-V
2. Mazda CX-5
3. Mitsubishi Outlander
4. KIA
5.Hyundai Tucson
6......
Hapo Vipi?
hayo magari kwa bongo unalitafuta tu na utalipata
 
Ni ulimbukeni tu wa wabongo zipo ndinga kali sana mzee.

Karibuni kwa povu
emoji1787.png
emoji1787.png

A
Ni ulimbukeni tu wa wabongo zipo ndinga kali sana mzee.

Karibuni kwa povu [emoji1787][emoji1787]
cha
wivu mzee tafuta hela
 
Back
Top Bottom