Gari aina ya Forester

Gari aina ya Forester

f1c475165f39556e1435dc6a56d3c397166012078889019_original.jpg
 
Outlander huwa naikubali sana, muonekano mzuri bei reasonable sema sasa sijajua uimara wake na gharama za uendeshaji.
Mzee hii machine sio mchezo ni imara na pia gari ngumu ila Kwa route za mjini fupi fupi jipange kwenye wese la kama mfuko uko safi fresh tu na sio kwamba inabugia sana kawaida tu ila agiza Japan. Gari naitumia kusafiri masafa marefu na ndo raha ya Outlander ilipo, unaweza jaza full tank from Dar to Moro na ukafika Moro hata nusu tank haijafika.

Kuna siku nilitokanayo Ifakara hadi dar na nilipofika nilizunguka almost siku tatu ndo gauge ikashuka chini kabisa, kimsingi ni gari poa na kama ni mpenda mbio utafurahi.
 
Tatizo bei
Fanya hivi, ingia kwenye web ya Autocom Japan angalia bei za Mitsubishi Outlander kisha nenda Befoward uone bei zao kama haitoshi cheki na site nyingine kama Trust, enhance nk kisha fanya comparison.

Kingine mnapotaka kuagiza gari Japan msikariri Befoward tu ziko kampuni mfano Autocom Japan wana reasonable price sana, sema sie wabongo ndo yale yale full kukariri utasikia hakuna simu bora kama iPhone [emoji1787][emoji1787]
 
Ukiacha magari ya kazi- nimebakiza kununua gari moja tu la matumizi binafsi la uzeeni, kama Mwenyezi Mungu atajaalia uhai.
 
Mzee hii machine sio mchezo ni imara na pia gari ngumu ila Kwa route za mjini fupi fupi jipange kwenye wese la kama mfuko uko safi fresh tu na sio kwamba inabugia sana kawaida tu ila agiza Japan. Gari naitumia kusafiri masafa marefu na ndo raha ya Outlander ilipo, unaweza jaza full tank from Dar to Moro na ukafika Moro hata nusu tank haijafika.

Kuna siku nilitokanayo Ifakara hadi dar na nilipofika nilizunguka almost siku tatu ndo gauge ikashuka chini kabisa, kimsingi ni gari poa na kama ni mpenda mbio utafurahi.
Gari gani inafika nusu tank baada ya kufika moro kutokea dar? Maana hapo ni 200km tu.
 
Changia gar yak kutoka dar mpaka moro fultank si unaenda na kuludi nayo mafuta
 
Mleta mada hajazungumzia swala la bei hata hivyo nakutajia SUV'S
1. Honda CR-V
2. Mazda CX-5
3. Mitsubishi Outlander
4. KIA
5.Hyundai Tucson
6......
Hapo Vipi?

Hapo gari pekee ni Mazda CX5 mengine hayo ni magari
 
Mzee hii machine sio mchezo ni imara na pia gari ngumu ila Kwa route za mjini fupi fupi jipange kwenye wese la kama mfuko uko safi fresh tu na sio kwamba inabugia sana kawaida tu ila agiza Japan. Gari naitumia kusafiri masafa marefu na ndo raha ya Outlander ilipo, unaweza jaza full tank from Dar to Moro na ukafika Moro hata nusu tank haijafika.

Kuna siku nilitokanayo Ifakara hadi dar na nilipofika nilizunguka almost siku tatu ndo gauge ikashuka chini kabisa, kimsingi ni gari poa na kama ni mpenda mbio utafurahi.
Full tank ya Outlander Ni litre ngapi mkuu?

Sent from my using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom