Gari aina ya Forester

Gari aina ya Forester

Toyota_ist_1.3F_(UA-NCP60)_front.JPG
huyu ndio anaongoza kwa usajili E mpaka sasa. Yani hiki kibaby walker kimepita miaka 10 lakini bado watu wanaruka navyo tu.
 
Mi naona bongo tatizo ni bajeti zetu wenyewe,uwezo wetu wa kununua gari zinazozidi milioni 25 ni shida.ukiangali rav 4 zina zaidi ya miaka 20,ukirudi vanguard zimesimama huwezi nunua,ukiangalia vorkswagen mafundi wa chini ya kuwango wanakuogopesha,ukiangalia outlander sifa kama vanguard kwa bei nusu.na mlango wa nyuma unafunguka vizuri bila kizuizi na subvoofeer juu.
 
Back
Top Bottom