Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa.A
cha
wivu mzee tafuta hela
Mzee hii machine sio mchezo ni imara na pia gari ngumu ila Kwa route za mjini fupi fupi jipange kwenye wese la kama mfuko uko safi fresh tu na sio kwamba inabugia sana kawaida tu ila agiza Japan. Gari naitumia kusafiri masafa marefu na ndo raha ya Outlander ilipo, unaweza jaza full tank from Dar to Moro na ukafika Moro hata nusu tank haijafika.Outlander huwa naikubali sana, muonekano mzuri bei reasonable sema sasa sijajua uimara wake na gharama za uendeshaji.
Mkuu chunguza vizuri kama kuna SUV cheap mojawapo ni Mitsubishi Outlander ila ni zile za generation ya pili.Tatizo bei
Fanya hivi, ingia kwenye web ya Autocom Japan angalia bei za Mitsubishi Outlander kisha nenda Befoward uone bei zao kama haitoshi cheki na site nyingine kama Trust, enhance nk kisha fanya comparison.Tatizo bei
Unyama mwingi sana, dash yake imechafuka mbaya
Gari gani inafika nusu tank baada ya kufika moro kutokea dar? Maana hapo ni 200km tu.Mzee hii machine sio mchezo ni imara na pia gari ngumu ila Kwa route za mjini fupi fupi jipange kwenye wese la kama mfuko uko safi fresh tu na sio kwamba inabugia sana kawaida tu ila agiza Japan. Gari naitumia kusafiri masafa marefu na ndo raha ya Outlander ilipo, unaweza jaza full tank from Dar to Moro na ukafika Moro hata nusu tank haijafika.
Kuna siku nilitokanayo Ifakara hadi dar na nilipofika nilizunguka almost siku tatu ndo gauge ikashuka chini kabisa, kimsingi ni gari poa na kama ni mpenda mbio utafurahi.
Sijui mkuu nimezungumzia gari ambayo nina uzoefu nayo Mitsubishi Outlander!Gari gani inafika nusu tank baada ya kufika moro kutokea dar? Maana hapo ni 200km tu.
UlimakafuSijui mkuu nimezungumzia gari ambayo nina uzoefu nayo Mitsubishi Outlander!
Mleta mada hajazungumzia swala la bei hata hivyo nakutajia SUV'S
1. Honda CR-V
2. Mazda CX-5
3. Mitsubishi Outlander
4. KIA
5.Hyundai Tucson
6......
Hapo Vipi?
majibu yapo kule nilipokutagUmuofia kwenu: wakuu vipi kuhusu mazda verisa
Full tank ya Outlander Ni litre ngapi mkuu?Mzee hii machine sio mchezo ni imara na pia gari ngumu ila Kwa route za mjini fupi fupi jipange kwenye wese la kama mfuko uko safi fresh tu na sio kwamba inabugia sana kawaida tu ila agiza Japan. Gari naitumia kusafiri masafa marefu na ndo raha ya Outlander ilipo, unaweza jaza full tank from Dar to Moro na ukafika Moro hata nusu tank haijafika.
Kuna siku nilitokanayo Ifakara hadi dar na nilipofika nilizunguka almost siku tatu ndo gauge ikashuka chini kabisa, kimsingi ni gari poa na kama ni mpenda mbio utafurahi.