Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
zitaje hizo kali zenye bei sawa au chini ya foresterNi ulimbukeni tu wa wabongo zipo ndinga kali sana mzee.
Karibuni kwa povu [emoji1787][emoji1787]
Mleta mada hajazungumzia swala la bei hata hivyo nakutajia SUV'Szitaje hizo kali zenye bei sawa au chini ya forester
Mleta mada hajazungumzia swala la bei hata hivyo nakutajia SUV'S
1. Honda CR-V
2. Mazda CX-5
3. Mitsubishi Outlander
4. KIA
5.Hyundai Tucson
6......
Hapo Vipi?
hayo magari kwa bongo unalitafuta tu na utalipataMleta mada hajazungumzia swala la bei hata hivyo nakutajia SUV'S
1. Honda CR-V
2. Mazda CX-5
3. Mitsubishi Outlander
4. KIA
5.Hyundai Tucson
6......
Hapo Vipi?
Unauliza swali? au ni sentensi ya kawaidahayo magari kwa bongo unalitafuta tu na utalipata
Ni ulimbukeni tu wa wabongo zipo ndinga kali sana mzee.
Karibuni kwa povu
chaNi ulimbukeni tu wa wabongo zipo ndinga kali sana mzee.
Karibuni kwa povu [emoji1787][emoji1787]
Outlander huwa naikubali sana, muonekano mzuri bei reasonable sema sasa sijajua uimara wake na gharama za uendeshaji.Mleta mada hajazungumzia swala la bei hata hivyo nakutajia SUV'S
1. Honda CR-V
2. Mazda CX-5
3. Mitsubishi Outlander
4. KIA
5.Hyundai Tucson
6......
Hapo Vipi?
Tatizo beiNi ulimbukeni tu wa wabongo zipo ndinga kali sana mzee.
Karibuni kwa povu [emoji1787][emoji1787]
Lakin forester na vanguard ni mzur sanaOutlander huwa naikubali sana, muonekano mzuri bei reasonable sema sasa sijajua uimara wake na gharama za uendeshaji.
Outlander iko vizuri kushinda foresta, nissan extrail na Toyota harrier kuna baadhi ya spare parts kama fan belt zinaingiliana na forestaOutlander huwa naikubali sana, muonekano mzuri bei reasonable sema sasa sijajua uimara wake na gharama za uendeshaji.
vipkuhusu vangourdOutlander iko vizuri kushinda foresta, nissan extrail na Toyota harrier kuna baadhi ya spare parts kama fan belt zinaingiliana na foresta
Ushuru tatizo leta ya maana lipigwe mnada bandarinikwenye swala la magari bado bongo tunatambaa sana hatuna gar za maana na tunapenda vitu yeboyebo
Ushuru tatizo leta ya maana lipigwe mnada bandarini
[emoji23][emoji28]hayo magari kwa bongo unalitafuta tu na utalipata
Tena escudo new model new brandWe hapo umenena ushuru mkubwa sana ushuru wa v8 unanunua suzuki escudo
Zinafanana Tuvipkuhusu vangourd