Gari aina ya Forester

Mi naona bongo tatizo ni bajeti zetu wenyewe,uwezo wetu wa kununua gari zinazozidi milioni 25 ni shida.ukiangali rav 4 zina zaidi ya miaka 20,ukirudi vanguard zimesimama huwezi nunua,ukiangalia vorkswagen mafundi wa chini ya kuwango wanakuogopesha,ukiangalia outlander sifa kama vanguard kwa bei nusu.na mlango wa nyuma unafunguka vizuri bila kizuizi na subvoofeer juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…