Car4Sale Gari aina ya Harrier linauzwa Mwanza

Car4Sale Gari aina ya Harrier linauzwa Mwanza

Brightly

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2022
Posts
391
Reaction score
623
Gari inauzwaa mwanza Million 24, ina kila document muhimu inayohitajika.

Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba +255 769 088 152

IMG-20230508-WA0002.jpg

IMG-20230508-WA0001.jpg
 
Gari inauzwa mwanza million 15 Kuna maelewano ina kila document inayohitajika.

Kwa mawasiliano zaidi +255 769 088 152.

IMG-20230508-WA0002.jpg
IMG-20230508-WA0001.jpg
 
DDY kwa hiyo bei itakusumbua kuna jamaa anasukuma EAY namba tako la nyani 24.
 
Ukiifika zamu ya kuipiga bei Lexus RX 330 naomba uni-tag mkuu, hio ni Gari yangu pendwa
 
DDY maana yake uliingiza Tanzania mwaka 2018 au 2019,hayo mahesabu ya 24ml unayatolea wapi?kiazi kweli wewe
Usisahau gari inauzwa Mwanza! Huko kuna Wasukuma ambao ni matajiri wa kuuza samaki, dagaa, madini, nk. Watanunua tu.
 
Back
Top Bottom