Gari aina ya Mazda Verisa

Gari aina ya Mazda Verisa

Mkuu pls peleka swali hili kwa watu wastaarabu wanaojua magari kwenye uzi unaitwa Wazee wa road trips, utafute
 
Mazda versa ni gari cheap sana kwa mentanace compare to Toyota Ist na inakupa fuel consuption kali
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Back
Top Bottom