mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,465
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeandika haposina hakika sana ila nasikia zinadaiwaga kodi ya TRA aikinunuliwa na raia
Nzima na ipoHii gari ni nzima na bado ipo
Mkuu kama.milion 3 na lak 6 bado maoengezi yapo halafu gari ipo kwenye hali nzur mno unajua wazungu vitu vyao kwa utunzaji service hata binadamu mwafrika akiumwa anasubirgood. Mkuu hebu badilisha sasa hizo fedha kwa pesa yetu itakua sh ngapi
Km 122625
Haizid milion mbili na nusu pia maongezi yapo ktk bei ya mauziano ya gar
Ongeza hela mkuu upate gar
Imeingia Tanzania lini? Inaweza fika usd 1000?Haizid milion mbili na nusu pia maongezi yapo ktk bei ya mauziano ya gar
Dolar 1000 hapana haiwez kufika sijui imekuja lini naifanyia kazi kwa boss labda niangalie
Hahaha wabongo bana mnajua sana kutoa kashfa kumilik kitu sasa ndo mzik
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hili gari litakuwa la Ubalozi wa Msumbiji
Gari ishauzwa.Ni kama milioni nne Tz, kama unazo njoo huku Kerege Bagamoyo ununue kiwanja kwani kiwanja kinapanda bei na gari inapungua bei
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari limeuzwa.
Shukran mkuu.