Eti eeeh?[emoji15] [emoji15] ...afuu kuna kitu umenifungua best...Kaza roho tu mkuu ukiipenda hahah,nilishawahi kuulizia just for funny tu consumption ya nissan CIMA ya 2005 v8 cc 4500 nikaishia kukatishwa tamaa balaa,nikaja kukutana na jamaa mmoja kule coco nikakaza roho kumuuliza consumption yake ikoje,jamaa akanionyesha kwny dashboard kitu kinasoma 5.3km/litre teh teh.
Possibly ndinga za wajerumani hazili mafuta kama za wajapani.
Hahah kitu gani boss?Eti eeeh?[emoji15] [emoji15] ...afuu kuna kitu umenifungua best...
Kaza roho tu mkuu ukiipenda hahah,nilishawahi kuulizia just for funny tu consumption ya nissan CIMA ya 2005 v8 cc 4500 nikaishia kukatishwa tamaa balaa,nikaja kukutana na jamaa mmoja kule coco nikakaza roho kumuuliza consumption yake ikoje,jamaa akanionyesha kwny dashboard kitu kinasoma 5.3km/litre teh teh.
Possibly ndinga za wajerumani hazili mafuta kama za wajapani.
Kiukweli 5.3km/l si ya kitoto kihiivyo lkn pia haitishi saana mkuu.Nilishawahi kua na gari ndogo tu mazda rx-8 cc 1300 lkn ulaji mafuta ni 6.5-7km/l na sio kwamba gari ina shida ila iko designed hivyo.Sasa mkuu 5.3km/litre mchezo? Hapo lazima ujipange, ila VW Touran ya 1.4L/1.6L ipo vizuri kwenye fuel consumption, ni family SUV nzuri tu kumiliki.
Mkuu ukitaka kupata uhakika umiza kichwa we mwenyew maswala ya kupenda kutafniwa utalishwa na matango pori buree
Siku hizi mzungu yupo fuel conscious sana. SUVs na compact SUVs sasa zina engine zenye fuel economy.Hivi Volkswagen kwa centimeter cylinder kunani?...naona wajerumani wana mizuka na cc nyingi!...kitu Touareg kinaenda hadi 4,890 cc[emoji15] [emoji15] ...
Yes....spare ziko kibao, huwezi kukosa bongo!Siku hizi mzungu yupo fuel conscious sana. SUVs na compact SUVs sasa zina engine zenye fuel economy.
Labda useme spare kibongobongo. Ila kama umeweza kununua hilo gari, spares huwezi kushindwa kwenye dunia kijiji ya leo.
Yes....spare ziko kibao, huwezi kukosa bongo!
Kuna mtu kaniambia mzungu ana CC kubwa but fuel consumption ni very normal!....sasa nataka kuhakiki hili!
Siku hizi mzungu yupo fuel conscious sana. SUVs na compact SUVs sasa zina engine zenye fuel economy.
Labda useme spare kibongobongo. Ila kama umeweza kununua hilo gari, spares huwezi kushindwa kwenye dunia kijiji ya leo.
Diesel??[emoji15] [emoji15] ....mkuu we unakula maisha!Hilo ni kweli kabisa, European cars are exceptional. Natumia Landrover Diesel engine cc2500,huu ni mwaka wa Tatu sijutii uamuzi wa kumiliki hii kitu.
Nzuri sana hasa model ya 2006 kuja mbele..japo iko chini kwa maana barabara za mashimo ni tabu kidogo..safi kwa familia. Inabeba watu 7. Wengine watajazia..Aman iwe nanyi!! Naomba kufahamu kutoka kwenu ninyi wazoefu kuhusiana na gari aina ya volkswagen tauran katika utumiaji wa mafuta,speed/nguvu,spare n. k. Asanteni sana
Mkuu spea ziko nyingi siku hizi gari za ulayaSiku hizi mzungu yupo fuel conscious sana. SUVs na compact SUVs sasa zina engine zenye fuel economy.
Labda useme spare kibongobongo. Ila kama umeweza kununua hilo gari, spares huwezi kushindwa kwenye dunia kijiji ya leo.