Gari aina ya volkswagen Tauran

Gari aina ya volkswagen Tauran

Kaza roho tu mkuu ukiipenda hahah,nilishawahi kuulizia just for funny tu consumption ya nissan CIMA ya 2005 v8 cc 4500 nikaishia kukatishwa tamaa balaa,nikaja kukutana na jamaa mmoja kule coco nikakaza roho kumuuliza consumption yake ikoje,jamaa akanionyesha kwny dashboard kitu kinasoma 5.3km/litre teh teh.

Possibly ndinga za wajerumani hazili mafuta kama za wajapani.
Eti eeeh?[emoji15] [emoji15] ...afuu kuna kitu umenifungua best...
 
Kaza roho tu mkuu ukiipenda hahah,nilishawahi kuulizia just for funny tu consumption ya nissan CIMA ya 2005 v8 cc 4500 nikaishia kukatishwa tamaa balaa,nikaja kukutana na jamaa mmoja kule coco nikakaza roho kumuuliza consumption yake ikoje,jamaa akanionyesha kwny dashboard kitu kinasoma 5.3km/litre teh teh.

Possibly ndinga za wajerumani hazili mafuta kama za wajapani.

Sasa mkuu 5.3km/litre mchezo? Hapo lazima ujipange, ila VW Touran ya 1.4L/1.6L ipo vizuri kwenye fuel consumption, ni family SUV nzuri tu kumiliki.
 
Sasa mkuu 5.3km/litre mchezo? Hapo lazima ujipange, ila VW Touran ya 1.4L/1.6L ipo vizuri kwenye fuel consumption, ni family SUV nzuri tu kumiliki.
Kiukweli 5.3km/l si ya kitoto kihiivyo lkn pia haitishi saana mkuu.Nilishawahi kua na gari ndogo tu mazda rx-8 cc 1300 lkn ulaji mafuta ni 6.5-7km/l na sio kwamba gari ina shida ila iko designed hivyo.

So kwa hizo specification za hio nissan kwa ulaji huo na confortability yake naona ni poa tu mkuu.

Kuna kitu naonaga kwny magari ya kijerumani Audi/bmw/benz yenye hua zinakua na consumption nzuri ya mafuta kuliko toyota/japanese cars zenye ukubwa huo huo wa cc mkuu.

Shida yake ni maintainance cost tu(germany cars) ndio kunakuwa na mziki hapo mkuu
 
We jamaa hutofanikiwa kabisa na ukifanikiwa basi sio sana....Penda kujifunza kwa walio kutangulia bythen uko wikipedia na google ni experiences sa nje ya nchi...Mind u Mtu kutaka kujua from Local users kuna mambo mengi ya kujifunza ambayo HAITAKIWI hata kwenda Google...Mfano

1.Climatic Conditions
2.Geographic Locations
n.k hivi vitu vinatofautiana mfano, Hali ya hewa na barabara za Google na wikipedia nikimaanisha Za Nje ya nchi uko ni tofauti na Hapa kwetu Tz....so ni bora kupata Experiences kutoka kwa wazawa zaidi

Moral Lesson
USIKARIRI SIO KILA CHA KUAMBIWA NI MATANGO PORI MENGINE YAPO NA NI MUHIMU KUZINGATIA.....Nyang'au wewe...[emoji84]
Mkuu ukitaka kupata uhakika umiza kichwa we mwenyew maswala ya kupenda kutafniwa utalishwa na matango pori buree
 
Hivi Volkswagen kwa centimeter cylinder kunani?...naona wajerumani wana mizuka na cc nyingi!...kitu Touareg kinaenda hadi 4,890 cc[emoji15] [emoji15] ...
Siku hizi mzungu yupo fuel conscious sana. SUVs na compact SUVs sasa zina engine zenye fuel economy.

Labda useme spare kibongobongo. Ila kama umeweza kununua hilo gari, spares huwezi kushindwa kwenye dunia kijiji ya leo.
 
Yes....spare ziko kibao, huwezi kukosa bongo!

Kuna mtu kaniambia mzungu ana CC kubwa but fuel consumption ni very normal!....sasa nataka kuhakiki hili!
 
Yes....spare ziko kibao, huwezi kukosa bongo!

Kuna mtu kaniambia mzungu ana CC kubwa but fuel consumption ni very normal!....sasa nataka kuhakiki hili!

Hilo ni kweli kabisa, European cars are exceptional. Natumia Landrover Diesel engine cc2500,huu ni mwaka wa Tatu sijutii uamuzi wa kumiliki hii kitu.
 
Siku hizi mzungu yupo fuel conscious sana. SUVs na compact SUVs sasa zina engine zenye fuel economy.

Labda useme spare kibongobongo. Ila kama umeweza kununua hilo gari, spares huwezi kushindwa kwenye dunia kijiji ya leo.

Na Ile Discovery 4 vp wadau,naziona Tele hapa town. Ila naona kama ni luxury car tofaut na mnyama TDI 200,300 and TD5. Ulaji wake wa mafuta ukoje,maana nyingi ni V6 or V8
 
Kama una pesa ya maintainance kamata hio Tuaran, mind you mjerumani hataki mambo ya kuunga unga! Kama una hela kweli jiweke humo, so far i think VW ndio gari pekee za mjerumani ambazo ziko reliable compared na Audi,Beamer or Benz!
 
Gari ya ndoto yangu ni VW tuuuu iwe tuaran, tuareg passat golf au polo na kwa mwaka jana ni kampuni ya magari iliyoongoza dunian kuuza magari yake
 
Aman iwe nanyi!! Naomba kufahamu kutoka kwenu ninyi wazoefu kuhusiana na gari aina ya volkswagen tauran katika utumiaji wa mafuta,speed/nguvu,spare n. k. Asanteni sana
Nzuri sana hasa model ya 2006 kuja mbele..japo iko chini kwa maana barabara za mashimo ni tabu kidogo..safi kwa familia. Inabeba watu 7. Wengine watajazia..
 
Siku hizi mzungu yupo fuel conscious sana. SUVs na compact SUVs sasa zina engine zenye fuel economy.

Labda useme spare kibongobongo. Ila kama umeweza kununua hilo gari, spares huwezi kushindwa kwenye dunia kijiji ya leo.
Mkuu spea ziko nyingi siku hizi gari za ulaya
 
Back
Top Bottom