witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Eti eeeh?[emoji15] [emoji15] ...afuu kuna kitu umenifungua best...Kaza roho tu mkuu ukiipenda hahah,nilishawahi kuulizia just for funny tu consumption ya nissan CIMA ya 2005 v8 cc 4500 nikaishia kukatishwa tamaa balaa,nikaja kukutana na jamaa mmoja kule coco nikakaza roho kumuuliza consumption yake ikoje,jamaa akanionyesha kwny dashboard kitu kinasoma 5.3km/litre teh teh.
Possibly ndinga za wajerumani hazili mafuta kama za wajapani.