Gari aliyopewa miss tanzania hata bure sipokei

Gari aliyopewa miss tanzania hata bure sipokei

Huyu mtoa mada inawezekana alipigwa chini mapemaaa kwenye hatua za awali za mchujo wa ulimbwende kitaani kwao. Sio kwa povu hilo.

Anyway, kama huyo kwenye avatar ni wewe basi hustahili hata baiskeli ya GUTA.
na hilo povu lako la sabuni ya mkopo khaaa langu la sabuni ya cash
 
There are something behind Waandaaji na mnaoratibu zawadi za mamiss ninyi ni wanyonyaji wakubwa sana
Very shame Hiyo gari ingekua mimi ningekataa

Mkuu; Aksante kwa kutujulisha kuwa hata hii lugha ya malkia haupo mbali. Nadhani ikitokea akija kwetu Donald Trump hata weye utawekwa mstari wa mbele kukutana naye.
Umewashinda wenye Phd mkuu.
Angalia ulivyo tiririka bila hofu mkuu. Umemzidi mkulu kwa kweli. Ohh! Very shame!!! Hata ningepewa nafasi ya kuwatuza hao ma miss, usingelipata hata zile tairi za hilo gari wewe. Kwa sauti yako mwenyewe; Very shame. HUIPATIIIIII
 
Sio dharau ila ndio ukweli, si umeona hata Uncle Lundenga hakuwepo kwenye makabidhiano? Hii ni mara ya kwanza tangu mashindano ya asisiwe, hata zamani wakati wanatoa miche ya sabauni kama zawadi alikuwa anahudhuria hafla..Huyu binti kwa kweli ni msala tu hana bahati kama Muhongo.
hiyo ni kwel
 
Mkuu; Aksante kwa kutujulisha kuwa hata hii lugha ya malkia haupo mbali. Nadhani ikitokea akija kwetu Donald Trump hata weye utawekwa mstari wa mbele kukutana naye.
Umewashinda wenye Phd mkuu.
Angalia ulivyo tiririka bila hofu mkuu. Umemzidi mkulu kwa kweli. Ohh! Very shame!!! Hata ningepewa nafasi ya kuwatuza hao ma miss, usingelipata hata zile tairi za hilo gari wewe. Kwa sauti yako mwenyewe; Very shame. HUIPATIIIIII
hahaaha
 
Binadam bhana,,,
Hawa waandaaji na wasimamizi wa masuala ya miss Tanzania mpo serious kweli?
Gari gani mmepa binti wa watu? Mbona hii dharau na kejeli? Haki ingekua mimi nisingepokea

Gari imejaaa matangazo halafu gari yenyewe sasa mhhhh hata hata bure haki sipokei
Mnaodeal na zawadi za mamiss ni wanyonyaji wakubwa tena wadhalilishaji wa mabinti za watu

Inatia kinyaa sana aisee very bad Ifike mahali mbadilike muache ukakasi wenu
Yaani diana ni mvumilivu sana haki vile mbali na gari kaa box la juice kuna kipindi cha mashindano ya miss world walikua wanamkwamisha kwamisha binti wa watu

There are something behind Waandaaji na mnaoratibu zawadi za mamiss ninyi ni wanyonyaji wakubwa sana
Very shame Hiyo gari ingekua mimi ningekataa
Unaishi Germany?
 
Huyu mtoa mada inawezekana alipigwa chini mapemaaa kwenye hatua za awali za mchujo wa ulimbwende kitaani kwao. Sio kwa povu hilo.

Anyway, kama huyo kwenye avatar ni wewe basi hustahili hata baiskeli ya GUTA.
Mkuu uyu jamaa si mchicha pori?
 
Wamechukua muda mrefu kumsoma ndio maana wamempa gari kama ile, yaani wamefanana na gari yake ile gari wasingeweza kumpa Wema, Nancy..ndio maana hata Lundenga hakutokea na ninadhani walimchugua kwa kujua kuwa hawana zawadi ya maana ya kumpa mshindi.
cfa9c20e838c6608c539d0071c8c5160.jpg
 
Hii hapa....mkweche si mkweche
guta si guta
mkokoteni si mkokoteni

Gari lina mirangi rangi kama gari la "Coral Paints"
au lile la kusambazia chakula kariakoo .

Hta gari linalokuwa lina milkiwa na "mwana mteja" linakuwa na chata kiasi
sio nyingi kama huu mkorogo.

upload_2017-5-25_12-15-9.png
upload_2017-5-25_12-15-28.jpeg
upload_2017-5-25_12-15-52.jpeg
upload_2017-5-25_12-15-40.png
 
Back
Top Bottom